- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SEREKALI NCHINI ZIMBABWE IMEWAFUTA KAZI ZAIDI YA MADAKTARI 200
Harare: Serikali nchini Zimbabwe imewafuta kazi zaidi ya madaktari 200 kwa kosa la kufanya mgomo wa kudai malipo mazuri ya mishahara. Taarifa kutoka Harare zinadai kuwa madaktari 211 wamefukuzwa kazi
NEWS: WAZIRI NDUGULILE "ELIMU BURE IMEPUNGUZA MIMBA NA NDOA ZA UTOTONI"
Naibu Waziri wa Afya Maeandeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Dkt. Faustine Ndugulile amesema Mwaka 2017 Tanzania ilikuwa na matukio ya vitendo vya ukatili wa kijinsia takribani elfu 41 na kati ya v
NEWS: SEREKALI YASEMA WAPINZANI WATAENDELEA KUWEPO KWENYE UCHAGUZI
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Selemani Jafo amesema jumla ya wananchi waliochukua fomu za kugombea uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini walikuwa 555,036 na waliorejesha 539,993 sawa na asili
NEWS: NCHI INATAHARUKI BAADA YA CHADEMA NA ACT KUSUSIA UCHAGUZI
Chama kingine cha upinzani chenye ushawishi nchini Tanzania cha ACT Wazalendo chenye udhibiti mkubwa Tanzania visiwani kimejitoa kushiriki uchaguzi wa serikali za mitaa wa nchi hiyo kikiunga maamuzi y
LUGOLA : WANAOTOA KAULI ZA UVUNJIFU WA AMANI KUCHUKULIWA HATUA
Dodoma. Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Kangi Lugola amemuagiza Mkuu Jeshi la Polisi Tanzania (IGP), Simon Sirro kuwachukulia hatua watu aliodai wanaotoa kauli zenye viashiria vya uvunjifu wa amani a
NEWS: JAJI AAMURU TRUMP KUREJESHA PESA DOLA $2M ZA KAMPENI
Rais wa Marekani Donald Trump ametakiwa na Jaji wa Jimbo la New York kuzirudisha dola $2M alizozichukua kwa matumizi ya Kampeni kutoka Trump Foundation ambapo yanatajwa na mahakama kuwa ni kinyume cha
NEWS: TANZANIA YAWAKARIBISHA WAWEKEZAJI KWENYE KOROSHO
Serikali ya Tanzania imewakaribisha wawekezaji kuja kuwekeza katika biashara ya Korosho nchini humo ili kutumia vyema fursa mbalimbali zilizopo ikiwemo kuwekeza katika viwanda vya korosho.Katika kipin
NEWS: CHADEMA YASUSIA UCHAGUZI SEREKALI ZA MITAA
Chama cha kikuu cha Upinzani nchini Tanzania CHADEMA kimetangaza rasmi Alhamisi ya leo Novemba 7, 2019 kutoshiriki uchaguzi wa serikali za mitaa utakayofanyika November 24.Chama hicho kinadai kuwa wak
POLEPPLE: WALIOENGULIWA SEREKALI ZA MITAA NI KWASABABU YA UJINGA WAO
Dar es salaam: Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema kuwa wagombea walioenguliwa katika uchaguzi wa serikali za Mitaa ni kutokana na ujinga wao wa kutofuata sheria za uchaguzi huo.Akizungumza na waandish
NEWS: KESI YA KABENDERA YAGONGA MWAMBA YASHINDWA KUENDELEA
Dar es salaam: Kesi inayomkabili Mwandishi wa Habari za Uchunguzi, nchini Tanzania Erick Kabendera, imesogezwa mbele hadi Novemba 20, 2019, baada ya Hakimu Augustine Rwizile, aliyekuwa akiisikiliza ku