November 25, 2024, 10:36 am
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: JAJI AAMURU TRUMP KUREJESHA PESA DOLA $2M ZA KAMPENI
Rais wa Marekani Donald Trump ametakiwa na Jaji wa Jimbo la New York kuzirudisha dola $2M alizozichukua kwa matumizi ya Kampeni kutoka Trump Foundation ambapo yanatajwa na mahakama kuwa ni kinyume cha sheria ya Nchi hiyo.
Uamuzi huu ni sehemu ya mashitaka yaliyowasilishwa na ofisi ya mwanasheria mkuu wa Jimbo la New York dhidi ya mfuko wa misaada wa 'Donald J Trump Foundation' akiwemo rais mwenyewe na watoto wake watatu Donald Junior, Ivanka na Eric.
Mahakama pia imeelekeza watoto wa rais Trump wanaosimamia uendeshaji wa mfuko huo kupatiwa mafunzo ya uongozi na kujua namna ya kufanya maamuzi ya matumizi ya fedha kwa misingi inayokubalika kisheria.