- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MOTO WATEKETEZA MAKUMBUSHO KONGWE YA MIAKA 200
BRAZIL: Kikosi cha zimamoto nchini Brazil wanajaribu kuzima moto mkubwa uliotokea katika moja ya makumbusho kubwa na ya kihistoria Mjini Rio De Jeneiro.Picha za televisheni zinaonesha makumbusho hiyo
NEWS: JIJI LA TANGA LAPONGEZWA KWA MIRADI BORA.
TANGA: Halmashauri ya Jiji la Tanga imepongezwa kwa kujenga miradi ya maendeleo yenye viwango vinavyoridhisha. Pongezi hizo zimetolewa na Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na serikali za M
MAGAZETI: SOMA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATATU SEPTEMBER 3 2018
Habari Mtanzania karibu katika magazeti ya leo.
NEWS: LUGOLA AWAPINGA MGAMBO WA PAUL MAKONDA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi Kangi Lugola imelaani vikali vitendo vya watu kujichukulia sheria mkononi ikiwemo kupiga, kujeruhi na kuuawa.Akizungumza leo Jumapili Septemba 2, 2018 Waziri Lugola a
NEWS: WANAANGA WANAJARIBU KUZUIA HEWA KUVUJA TOKA KWENYE KITUO CHA ANGA
Wana anga kwenye kituo cha kimataifa cha anga za mbali (ISS) wanafanya jitihada za kuziba ufa ambao umesababisha hewa kuvuja kutoka kituo hicho kilicho umbali wa kilomita 400 kutoka sayari ya dunia.Ta
NEWS: KUNDI LA VIONGOZI WA AFRIKA WAHUDHURIA MKUTANO WA CHINA
Viongozi wa Afrika wapo nchini China, kuhudhuria mkutano wa kila mwaka wa ushirikiano baina ya Afrika na China.Huu ni mkutano wa tatu tangu kuasisiwa kwa ushirikiano baina ya China na Afrika, mkutano
NEWS: GARI LA WATALII LIMEGONGANA NA ROLI LA MIZIGO ARUSHA
ARUSHA: Ajali ya Gari aina ya Land Cruiser iliyokuwa imebeba Watalii imegongana uso kwa uso na Roli la mizigoa ambapo ajali hiyo imetokea eneo la Mti mmoja Lenga Kilometa 10 kutoka njia panda ya Wilay
NEWS: SUMAYE AIVAA TUME YA UCHAGUZI NEC AITAKA KUTENDA HAKI
Waziri Mkuu mstaafu wa awamu ya tatu Frederick Sumaye ameitaka Tume ya taifa ya Uchaguzi nchini (NEC) kutenda haki kwa vyama vyote katika uchaguzi mdogo unaokusudiwa kufanyika Septemba 16, 2018 ili k
NEWS: WATEJA WASUA SUA KUNUNUA MAKONTENA YA MAKONDA
makontena 20 yaliyoagizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa kisingizio cha kupeleka mashuleni jana yalifanyiwa mnada bila makontena hayo kununuliwa, na hii imekuja baada ya wateja wen
NEWS: JAFO AAGIZA MKANDARASI WA JENGO LA HALMASHAURI YA PANGANI AONDOLEWE
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tamisemi Selemani Jafo ameagiza kuondolewa kwa Mkandarasi anayejenga Ofisi za halmashauri ya wilaya ya Pangani kutokana na kushindwa kukamilisha Ujenzi huo kama mkataba