- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WATEJA WASUA SUA KUNUNUA MAKONTENA YA MAKONDA
makontena 20 yaliyoagizwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda kwa kisingizio cha kupeleka mashuleni jana yalifanyiwa mnada bila makontena hayo kununuliwa, na hii imekuja baada ya wateja wengi kushindwa kufika bei. na ni mara ya pili kwa makontena hayo kukosa wateja tangu yalipoanza kuuzwa Agosti 25.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya udalali ya Yono (Auction Mart), Scholastica Kevela akiwa kwenye ghala la Dar es Salaam Inland Container Depot (DIC) jana alisema wataendelea na mnada hadi makontena hayo yauzike. "Mnada umekuwa 'very successful' tumeuza mali za aina tofauti tofauti yakiwamo magari na bidhaa nyinginezo. Mnaniuliza makontena mangapi, mimi kwa upande wangu nimeuza kama nilivyopewa maelekezo,"
"Makontena yalikuwa 20 bei imefika hapo ilipofika na tunaendelea na marketing. Kama ilivyosema serikali kwamba huu sio mwisho wa Mnada, kwa hiyo tutaendelea mpaka makontena yote yapate wateja." alisema Scholastica
Scholastica alikataa kutaja bei ya mwisho akisema hiyo ni kazi ya Kamishna mkuu wa Mamlaka ya mapato (TRA). Mbali na makontena hayo, Kevela alisema wameuza bidhaa mbalimbali katika mnada huo na wataendelea