- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WANAANGA WANAJARIBU KUZUIA HEWA KUVUJA TOKA KWENYE KITUO CHA ANGA
Wana anga kwenye kituo cha kimataifa cha anga za mbali (ISS) wanafanya jitihada za kuziba ufa ambao umesababisha hewa kuvuja kutoka kituo hicho kilicho umbali wa kilomita 400 kutoka sayari ya dunia.
Taarifa zinaripoti kuwa ufa huo mdogo ulitokea wakati kituo hicho kiligongwa na jiwe dogo lililokuwa likipita kwa kasi ya juu angani.
Wanafuatilia kituo hicho huko Texas Marekani na Moscow nchini Urusi, wanasema wanasayansi 6 walio angani hawako kwenye hatari.
Athari za mawe madogo sana ni tisho la kila mara kwa kituo hicho kinachozunguka angani kilichojengwa kustahimili kugongwa na vumbi inayozungika katika anga ya dunia.
Wanaofuatia chombo kwanza walijulishwa na mitambo ya kutambua hali hewa iliyo ndani ya chombo hic
Wanasayasi walikuwa wamelala wakati huo, lakini wakati waliamka kuanza siku Jumatano, waliamrishwa kuutafuta ufa huo.
Ufa huo ulipatikana kwenye chombo cha Urusi cha Soyuz kilichotumiwa kusafirisha wana anga tarehe 8 mwezi Juni wakiwemo mwana anga wa Ulaya Alexander Gerst.ho.