- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
News: TADB Yawanufaisha Wakulima 527,291
BUNGENI DOM: Hadi kufikia Julai, 2018 Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB) imewanufaisha jumla ya wakulima 527,291 kwa kuwapa mikopo yenye thamani ya shilingi bilioni 48.67.Takwimu hizo zimetolewa leo
NEWS: HALIMA MDEE AFUNGUKA ADAI HAJAWAHI KUONA BUNGE LINAPELEKWA NA SERIKALI.
BUNGENI DOM: September 4, 2018 Wabunge walikuwa wakijadili Muswada wa sheria ya kulitangaza jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi wa mwaka 2018 (The Dodoma capital city Declaration Bill 2018) ambapo
NEWS: SERIKALI YAAHIDI KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI SOKO LA MWANI.
BUNGENI DOM: Serikali imeahidi kuongeza kasi ya utekelezaji wa Mpango Madhubuti wa Maendeleo ya Mwani ambao umeainisha mikakati ya kutatua tatizo la soko la mwani ikiwa ni pamoja na kuongeza uzalisha
NEWS: MUSWADA WA SHERIA YA JIJI LA DODOMA KUWA MAKAO MAKUU YAIVA.
BUNGENI DOM: Serikali imewasilisha muswada wa sheria ya kulitangaza jiji la Dodoma kuwa makao makuu ya nchi wa mwaka 2018 unaopendekeza kutungwa sheria ili kutambua kisheria kuwa Dodoma ni makao maku
NEWS: WABUNGE WA CHADEMA WATOKA NJE KISA KIAPO CHA MBUNGE CHRISTOPHER CHIZA
BUNGENI DOM: Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wametoka ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza (CCM), akiapa. Tukio hilo lilitokea mapema asubuhi l
NEWS: KAULI YA WIZARA YA MALIASILI NA UTALII KUHUSU AJALI YA WATALII WANNE MKOAN...
DOM: Wizara ya Maliasili na Utalii yasikitishwa na tukio la ajali ya watu sita Mkoani Arusha wakiwemo watalii wanne kutoka nchini Hispania na Italia.Siku chache mara baada ya watu sita wakiwemo watali
NEWS: POLISI WAENDELEA KUWAHOJI POLISI 10 WANAO TUHUMIWA KWA MAUWAJI
Tabora: Jeshi la Polisi limeendelea na mfululizo wa kuwahoji askari wake 10 wanaotuhumiwa kuhusika katika tukio la mauaji ya Seleman Jumapili lililotokea Agosti 29 mwaka huu mkoani Tabora. Akizungumza
NEWS: ZITTO AITAKA SEREKALI KUTOA MAELEZO KESI ZILIZOFUNGULIWA DHIDI YA JAMHURI
Dodoma: Mbunge wa Kigoma Mjini (ACT-Wazalendo) Zitto Zuberi Kabwe amewasilisha swali la Kimaandishi Bungeni Jijini Dodoma Leo September 4, 2018 kuitaka Serikali ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kue
NEWS: MAVUNDE AFUNGUKA KUHUSU UCHANGUZI MDOGO UNAOFANYIKA
BUNGENI DOM: Serikali imesema mabadiliko yanayotokea katika uchaguzi mdogo wa ubunge, hayaathiri idadi ya viti maalumu vya chama husika. Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira na Vijana, Anth
News: Jafo atoa mwezi mmoja kufanya uchambuzi wa ubadhilifu wa mapato Hanang
MANYARA: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa. Mhe. Selemani Jafo amemuelekeza Mkuu wa Wilaya ya Hanang kuunda timu ya wataalam kuchunguza tuhuma za ubadhilifu wa mapato y