- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: NAIBU WAZIRI AITAKA JAMII KUWASAIDIA WALEMAVU.
DOM: Jamii imetakiwa kuwa na utayari wa kujitolea bila kuchoka kwa watu wenye mahitaji maalum hususani walemavu ili kuwapa fursa ya ushiriki katika ustawi wa Taifa.Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri,
MAGAZETI: SOMA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATANO AUGOSTI 29 2018
Habari za Jumatano Mtanzania karibu katika uwanja wa magazeti ya leo.
NEWS: SEREKALI YA TZ YASITISHA MATUMIZI YA MITANDAO YA KIJAMII KWA WATUMISHI WA...
Serikali ya Tanzania imezuia matumizi ya mitandao ya kijamii kwa watumishi wa umma wakati wa kazi kwa madai yanaathiri kasi ya mtandao wa intaneti ya serikali, na kudai kuwa watumishi wengi wanapotez
NEWS: SISTER WA KANISA AJIUWA KWA KUJITUPA GHOROFANI HOSPITALI YA BUGANDO
MWANZA: Mkurugenzi wa fedha na mpango katika hospitali ya Rufaa Bugando, ambaye pia ni Sister wa kanisa katoliki Suzan Bathlomeo amejiuwa baada ya kujirusha kutoka gorofani muda mfupi baada ya kutoka
NEWS: MWALIMU AMPIGA MWANAFUNZI MPAKA KUMUUWA KWA TUHUMA ZA KUIBIWA
Jeshi la Polisi mkoani Kagera linamshikilia mwalimu wa shule ya msingi ya Kibeta iliyoko katika Manispaa ya Bukoba mkoani kagera respicius patric aliyempiga na kumuua kikatili mwanafunzi wa darasa la
NEWS: HAKIMU WA BILIONEA MSUYA ATISHIWA KUUAWA.
DAR: Jaji Salma Maghimbi aliyesikiliza kesi ya mauaji ya bilionea Erasto Msuya na kuwahukumu adhabu ya kifo washitakiwa watano, ametishiwa kuuawa na mtu asiyejulikana. Inadaiwa mtu huyo alipiga simu
NEWS: MCHUNGAJI AFUNGUKA KUHUSU WAUMINI KUCHATI SANA.
DOM: Imeelezwa kuwa baadhi ya waumini wa dini ya kikiristo hutumia muda mwingi kuchati na kuangalia picha zisizokuwa na maadili kwenye mitandao ya kijamii ikiwemo whatsapp kuliko kusoma maandiko matak
NEWS: SERIKALI YAJIPANGA KUTHIBITI UGONJWA WA EBOLA NCHINI.
KAGERA: Serikali kupitia Wizara ya Áfya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto inaendelea kuweka mikakati thabiti katika maeneo yote hatarishi ikiwemo mipakan na njia za panya ili kudhibiti ug
NEWS: TAMISEMI YAJIPANGA KUPUNGUZA VIFO VYA AKINA MAMA NA WATOTO.
DOM: Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) imeweka mikakati ya kuhakikisha inapunguza vifo vya akina mama na watoto vitokanavyo na uzazi sababu kutoka 556 hadi 292 kwa vizazi
SPORTS: MOURINHO ALIA NA WANAHABARI BAADA YA KUPOKEA KICHAPO CHA TOTTENHAM
Mkufunzi mkuu wa club ya Uwingereza Manchester United Jose Mourinho amewataka waandishi wa habari za michezo kumuheshimu baada ya timu yake kupokea kipigo cha magoli 3-0 wakiwa uwanja wa nyumbani dhi