- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WAZIRI UMMY ''ZOEZI HILI SIYO GENI LILIANZA TOKEA MWAKA 2015''
DOM: Serikali imesema imekuwa ikitoa kingatiba kwa wanafunzi wenye umri wa miaka mitano hadi 14 na sio chanjo ili kuwakinga watoto hao dhidi ya ugonjwa wa kichocho na minyoo tumbo.Kauli hiyo ya serika
NEWS: SHERIA YA BODI YA KITAALUMA YA WALIMU TANZANIA YATINGA BUNGENI LEO.
BUNGENI DOM: Serikali imewasilisha bungeni Muswada wa Sheria ya Bodi ya Kitaaluma ya Walimu Tanzania wa mwaka 2018 wenye lengo la kuweka muundo wa kisheria wa usimamizi na uendeshaji wa bodi ya kitaa
NEWS: SERIKALI KUANZA KUANDIKA SHERIA ZOTE NA MISWADA KWA KISWAHILI.
BUNGENI DOM: Serikali imesema itaanza kuandika sheria zote pamoja miswada na inayowasilishwa bungeni kwa lugha ya Kiswahili. Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Dk. Adelardus Kilangi amesema hayo bungeni
NEWS: POLISI YATAJA SABABU YA KUMKAMATA MWENYEKITI WA CHADEMA MBEYA
Mbeya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ametoa sababu ya msingi ya kumkamata mwenyekiti wa Chadema katika jiji la Mbeya, Obadia Mwaipalu kuwa ni kutaka kumuonya yeye na viongozi wenzake
VOICENOTE YA HAMISA YAENDELEA KUWATESA WEMA NA MANGE KIMAMBI
Dar es salaam: kumekuwa na vita kali ya maneno kati ya Muigizaji maarufu nchini Tanzania Wema Abraham Sepetu na Mwanaharakati wa siasa na mambo ya kijamii Mtanzania anayeishi nchini Marekani Mange KIm
NEWS: UPINZANI NCHINI DRC WATISHIA KUANDAMANA.
CONGO: Chama kikuu cha upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kimetishia kufanya maandamano na pia kutishia kuupinga uchaguzi mkuu baada ya mahakama ya juu kabisa nchini humo kusema mgombea
NEWS: NECTA YAPUNGUZA IDADI YA MASWALI MTIHANI DARASA LA 7
Baraza la mitihani limetangaza kuanza kwa mitihani ya kumaliza elimu ya msingi kuanzia leo jumatano huku wakifanya mabadiliko katika mfumo ,wakipunguza baadhi ya maswali kutoka hamsini mpaka arobaini
SOMA MAGAZETI YOTE YA LEO JUMATANO TAREHE 5 SEPT. 20178
karibu kwenye kurasa za magazeti ya leo Jumatano Sept.5, 2018
NEWS: MBABE WA KIVITA CONGO BW. BEMBA ASEMA UCHAGUZI WA CONGO NI MZAHA
DRC: Jean Pierre Bemba Jumanne ambaye aliyekuwa mbabe wa kivita nchini DRC amedai kuwa uchaguzi uliocheleweshwa utakaofanyika Desemba nchini humo ni mzaha tu baada ya mahakama ya katiba kumnyima nafa
NEWS: SERIKALI YAELEZA MBINU ZA KUKABILIANA NA UMASKINI
Na Benny Mwaipaja, WFM, DodomaSerikali imeeleza kuwa inazingatia Dira ya Taifa ya Maendeleo, Ilani ya Uchaguzi ya Chama Tawala (ccm), Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano na mwaka mmoja, pam