Home | Terms & Conditions | Help

November 28, 2024, 7:46 pm

VOICENOTE YA HAMISA YAENDELEA KUWATESA WEMA NA MANGE KIMAMBI

Dar es salaam: kumekuwa na vita kali ya maneno kati ya Muigizaji maarufu nchini Tanzania Wema Abraham Sepetu na Mwanaharakati wa siasa na mambo ya kijamii Mtanzania anayeishi nchini Marekani Mange KImambi baada ya Kuvuja kwa Voicenotes alirekodiwa hamisa Mobetto wakimpigia mganga wa kienyeji kumtaka kuwafanyia mambo ili mawifi zake kina Esma na mama mzazi wa Diamond Platnumz Bi Sandrah wampende yeye Mobetto na awe na kauli kwa Mwanamuzi huyo wa Hits song ya JIBEBE.

Sasa masaa machache baada ya kuvuja kwa Voicenote ile, wema alionekana kama kumrushia vijembe Hamisa na Mange juu ya tukio hilo kupitia kwenye Ukurasa wake wa instagrama aliandika "Kama maneno mkuki, Lenga unifyatulie... Kusanyana mashabiki, waje wakusaidie.... Imara sibabaiki.... Tena nitazame ndie mie.....
To whom it may Concern.... Kubambwa mbambwe muanze kusema yangu.... Nimechoka sasa.... Kwani aliefurahia ni mimi peke yangu.... Yaani wewe dada mpaka huwa nakuskitikia wallahy.... Ebu mniache basi... Ndo mshakutwa tena Red Handed.... .

.Red Handed Nako K... Defence hamna kiukweli... Ndo ipo hivyo... Pambaneni na hali zenu please.... And Yoooou.... Kuwa mshauri mzuri basi kwa mdogo wako.... baada ya maneno hayo Mange alimjia juu Muigizaji huyo kwa kuonesha kama anampenda na kumtetea Hamisa, huku akihoji kuwa kwanini wema amefurahia kuona Hamisa anavyofanyiwa na Diamond ''leo umeona ujiseme kabisa kuwa umefurahia. Sasa hujioni we ndo mchawi? Kwani ni adui yako? Mligombania nini? Pumbav wewe unaongea as if you are innocent in this? Isingekuwa kimbembele chako cha kuingilia issue za Hamisa leo kuna mtu angekutaja? Unataka kujitoa sasa hivi? Uwiiii leo umeonyesha chuki za waziiiiiiiiiiiRelated image

Baada ya Posti hiyo Wema naye alicharuka zaidi dhidi ya Mwanaharakaiti huyo na kumtaka Mange aache tabia ya kumshobokea kwasababu shobo anazofanya dhidi yake ndio zinamponza Mangekimambi ."Jibu langu hua ni Moja Tu kwa miaka hata miwili... Na utahaha nalo... Sikukohoi tena.... Neng’eneka mpaka... Ila Message Sent... Acha Shobo....!!!! Shobo zako ndo zinazokuponza.....!!! Unanielewa nikisema Shobo.... Kama zile ulizoniletea siku ya kwanza ulivyoniona...
aliandika Wema.

Image result for wema sepetu

Saa chache baada ya wema kumwambia Mange kuacha shobo naye Mangi akamjibu kwa Hasira na kumtukana na kutaja kashifa zake dhidi ya muingizaji huyo kwa kusema kuwa aliwahi kwenda Afriaka kusini kumtafuta baba wa watoto wa Zari Marehemu IVAN na kushiriki nae Mapenz ili kumuumuzi Zari "ulienda Hadi S.A ku..... na Ivan. Sababu ya hasira za Zari kuwa na Dai. Ivan aka.... wiki nzima South Africa tena ukiwa na Martin Kadinda uko S.A. Ulichorudi nacho bongo ni story za kwamba Ivan hajatahiriwa.. We mal.... wa kinyaturu nimekwambia saa nyingi ubane K.... yako ukae kimya ntakuaibisha"Image result for mange kimambi