Home | Terms & Conditions | Help

November 28, 2024, 9:37 pm

NEWS: GARI LA WATALII LIMEGONGANA NA ROLI LA MIZIGO ARUSHA

ARUSHA: Ajali ya Gari aina ya Land Cruiser iliyokuwa imebeba Watalii imegongana uso kwa uso na Roli la mizigoa ambapo ajali hiyo imetokea eneo la Mti mmoja Lenga Kilometa 10 kutoka njia panda ya Wilayani Monduli.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha (SACP) Ramadhani Ng'anzi, amethibitisha kutokea kwa ajali hiyo asubuhi ya leo sept. 2, 2018

Huku idadi ya watu waliojeruhiwa na kufariki ikiwa bado haijajulikana.