- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SERIKALI YASISITIZA HAKUNA ONGEZEKO LA BEI YA SUKARI.
DOM: Serikali imesema kiasi cha sukari kilichopo nchini kinatosheleza mahitaji ya sukari kwa kipindi cha miezi mitatu mbali na uzalishaji unaoendelea.Waziri wa Viwanda ,Biashara na Uwekezaji Charles
BURUDANI: ALICHOKIANDIKA ALIKIBA JUU YA UGOJWA WA OMMYDIMPOZ
Dar es salaam: Mkali wa Bongo fleva nchini Tanzania AliKiba amemfariji kwenye siku yake ya kuzaliwa Rafiki yake wa karibu ambaye wako chini ya Label Moja ya Rock Star Omari Nyembo maarufu kama Ommy Di
NEWS: TAMASHA LA URITHI KUFANYIKA DOM.
DOM: Makamu wa Rais Samia Suluhu atakuwa mgeni rasmi katika uzunduzi wa tamasha la urithi litakalofanyika kati ya Septemba 15 hadi 22 mwaka huu jijini hapa. Akizungumza na waandishi wa habari leo Sep
NEWS: MBUNGE AHOJI MPANGO WA SERIKALI KULETA BAADHI YA SHERIA ZILIZOPITWA NA WA...
BUNGENI DOM: Wizara ya Sheria na Katika imesema katika kuhakikisha kuwa sheria za nchi zinakidhi mahitaji ya wakati, Serikali imekuwa ikifanya mapitio ya sheria kupitia tume ya kurekebisha sheria Tanz
NEWS: SERIKALI YATENGA ZAIDI YA BILIONI 1 KWA AJILI YA KUTEKELEZA MIRADI YA MAJ...
BUNGENI DOM: Wizara ya Maji na Umwagiliaji Katika mwaka wa fedha 2018-2019 imesema Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 1.302 kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maji vijijini inayohusisha ujen
NEWS: WAZIRI JAFO ACHARUKA AWASHUKIA WAKALA WA TBA .
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa), Selemani Jafo, ametoa miezi miwili kwa Wakala wa Majengo (TBA) kukamilisha ujenzi wa ofisi za Halmashauri ya Manispaa ya Kigambon
LUGOLA: MWANANCHI ANAWEZA KUFA HATA AKIWA ANAFANYA MAPENZI
Dodoma: Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Kangi Lugola amesema kuwa wananchi kufia kwenye vituo vya polisi haina maana kwamba ameteswa kwa sababu mwananchi huyo anaweza pia kufia kwenye maeneo mengine
NEWS: WAZIRI AMTUMBUA AFISA ARDHI.
Mhe. William Lukuvi ameagiza kufukuzwa kazi afisa ardhi wa wilaya ya Monduli bwana Kitundu Mkumbo kwa kukiuka sheria na taratibu za utoaji wa hati miliki za kimila. “Afisa huyu wa ardhi ambaye ja
NEWS: BARUA YA KUJIUZULU YA KUBENEA YAZUA UTATA NDANI YA CHADEMA
Dar es salaam: Wakati chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wakipambana kutengeneza uwaminifu kwa wananchi baada ya kuathiriwa na kuhama hama kwa wabunge wake na Madiwani kumekuwepo na taharuki ba
NEWS: WAFANYABIASHARA SABASABA WALALAMIKIA UONGOZI WA SOKO KUWAHAMISHIA ENEO LA...
DOM: Zaidi ya Wafanyabiashara 400 wa Mbogamboga na Matunda katika Soko la sabasaba Jijini Dodoma wamelalamikia kitendo cha kutakiwa kuondoka katika eneo hilo na Uongozi wa Soko Kwa madai kuwa sehemu w