- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: POLISI WAMKAMATA BINTI WA MIAKA 20 AKIWA NA ZAIDI YA FUNGUO 150 ZA BANDIA
Mwanza: Jeshi la Polisi jijini Mwanza wameendelea kumshikilia binti wa miaka 20, Sonia Fanuel mkazi wa Nyegezi, Mwanza kwa tuhuma za WIZI baada ya kukutwa na funguo bandia 154. Kati ya funguo hizo, 53
NEWS: KENYETTA AKUBALI OMBI LA WANANCHI KUPUNGUZA KODI YA MAFUTA
Rais Kenyatta Bw. Uhuru Kenyatta ameamua kuwaonea huruma wananchi wake baada ya kukubali kupunguza bei ya bidhaa ya mafuta ya awali kutoka 16% hadi 8%. Ametoa uwamuzi huo jana wakati akitoa hotuba kwa
NEWS: POLISI WANAWASAKA WALIOKAIDI WITO WA RAIS MAGUFULI
Musoma: Jeshi la polisi mkoani Mara limetoa notisi ya kukamatwa kwa mfanyabiashara maarufu Mauza Nyakirang’anyi kwa madai ya kushindwa kujisalimisha kwenye ofisi za Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na
HABARI 6 ZILIZOJIRI BUNGENI LEO NI PAMOJA NA FAINI YA UCHANGUDOA NI MIA 500 AU 1...
Zifuatazo ni habari 6 kubwa zilizobamba leo Jijini Dodoma Bungeni 1. Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema kuwa serekali imekuwa ikipambana na changamoto katika kutekeleza sheria ya ad
NEWS: POLEPOLE AJIGAMBA CCM KUSHINDA UCHAGUZI WA MONDULI NA UKONGA
Dar es Salaam: Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama tawala CCM,Bw. Humphrey Polepole amesema chama cha mapinduzi kitashinda uchaguzi mdogo katika majimbo ya Ukonga na Monduli unaotarajia kufanyika Ke
SPORT: HATIMAYE WAINGEREZA WAANZAA KUTUMIA VAR KWENYE MECHI 60 KUANZIA KESHO
London: ligi kuu ya nchini Uwingereza imeona ni busara kuiga mfumo wa maamuzi unaofanywa na wahispania kwa sasa wa Teknolojia ya kutumia video kuwasaidia waamuzi, maarufu kama Video assistance referee
NEWS: UPINZANI NCHINI CONGO WAGOMEA UCHAGUZI UJAO
Muungano wa upinzania usio rasmi nchini DRC Congo wanakataa kuunga mkono uchaguzi wa Desemba 23 ambao wanadai kuwa "hautokua wa haki" na "utasababisha machafuko nchini".hapa ni Wagombea wa upinzani wa
SOMA MAGAZETI YOTE YA LEO IJUMAA SEPTEMBER 14, 2018
Ikikuripotia moja kwa moja kutoka Dar es salaam Tanzania, habari za Asubuhi mtanzania karibu kwenye habari kubwa za mbele za magazeti ya leo siku ya Ijumaa ya Tarehe 14, sepetemba 2018
NEWS: MGOMBEA UBUNGE AHOFIA KUTEKWA.
DAR: Mgombea ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) jimbo la Ukonga jijini Dar es salaam Asia Msangi amesema miongoni mwa changamoto anazokutana nazo kuelekea uchaguzi wa marudio jimbo
NEWS: BUNGE LAPITISHA TAARIFA YA UCHAMBUZI WA SHERIA NDOGO .
BUNGENI DOM: Bunge limepitisha taarifa kuhusu uchambuzi wa sheria ndogo huku likiazimia kuwa wizara zote ambazo sheria zake ndogo zimebainika kukinzana na masharti ya sheria mama au sheria nyingine k