November 28, 2024, 4:45 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WAZIRI AMTUMBUA AFISA ARDHI.
Mhe. William Lukuvi ameagiza kufukuzwa kazi afisa ardhi wa wilaya ya Monduli bwana Kitundu Mkumbo kwa kukiuka sheria na taratibu za utoaji wa hati miliki za kimila.
“Afisa huyu wa ardhi ambaye japo hapo awali mlishawahi kumsimamisha kazi kwa makosa mengune kama haya, lakini kwa sasa makosa haya ni makubwa sana na sasa afukuzwe kazi, haiwezekani amilikishe hekari zaidi ya 1,500 kinyume na sheria” Alisema Mhe. Lukuvi.
Waziri Lukuvi ametoa agizo hilo mbele ya wakazi wa kijiji cha Engarooji wilayani Monduli mkoani Arusha ambao wamekua katika mgogoro wa ardhi kwa muda mrefu hali iliyowalazimu kugawanyika katika makundi mawili yasiyoelewana, Waziri Lukuvi amefafanua kuwa mwenye mamlaka ya kumilikisha mtu ardhi zaidi ya hekari 50 ni Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee.

Newest Posts