- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: RAIS MAGUFULI AMFUTA KAZI MKURUGENZI WA NYASA MKOANI RUVUMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ametengua uteuzi wa Mkurungezi wa Halimashauri ya wilaya ya Nyasa Mkoani Ruvuma Dkt Oscar Albano Mbyuzi na Kumteua Bw. Jonson Peter Mhagama
NEWS: DAWA MUHIMU ZAIDI YA 300 ZINAPATIKA KATIKA VITUO VYA KUTOLEA HUDUMA ZA AFY...
NJOMBE: Serikali ya awamu ya tano imefanikiwa kuvuka kiwango cha upatikanaji wa dawa muhimu kwa binadamu kilichowekwa na Shirika la Afya Duniani (WHO) katika ngazi ya Hospitali ya Wilaya kwa kuwa na i
NEWS: MA DC WANAOWAWEKA WANANCHI NDANI HOVYO KUFANYIWA TATHIMINI
Dodoma: Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serekali za Mitaa (TAMISEMI) Seleman Jaffo amesema kwasasa wanafanya tathimini juu ya mwenendo wa Wakuu wa mioka na Wakuu wa wilaya wanaofanya v
NEWS: BUNGE LAPOKEA WITO WA KUSITISHA AZIMIO LA KUTOFANYA KAZI NA CAG
Dar es salaam. Tangu Bunge lipitishe azimio lake la kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za serekali (CAG) Prof Mussa Asaad kumekuwa na maoni mbalimbali kutoka kwa wananchi na viongoz
MBUNGE LUSINDE: TUSIFANYE UCHAGUZI WA URAIS, RAIS HANA MPINZANI
Leo Bungeni Jumatatu April 9 Mbunge wa Mtera (CCM), Livingstone Lusinde ameshauri usifanyike uchaguzi mkuu wa Urais mwaka 2020 na badala yake ufanyike kwa upande wa wabunge na madiwani pekee, ili fedh
KAMANDA MUROTO " ATAKAE ANDAMANA KESHO ATAPIGWA NA ACHAKAE"
Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Gilles Muroto ametoa onyo kali kwa waliopanga kufanya maandamano kesho Jumanne Aprili 9, 2019 akisema watakaoingia barabarani watapigwa na kuchakaa.Kauli hiyo Kamanda
NEWS: RAIS MPYA WA TLS AAHIDI KUPIGANIA UTAWALA WA SHERIA
Rais mteule wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS), Dk. Rugemeleza Nshala amesema ataendelea kupigania utawala wa sheria na kutekeleza matakwa ya TLS.Alisema mbali ya kupigania utawala pia TLS itaende
NEWS: MWANAMKE AWA TAJIRI WATATU DUNIANI WAKIKE BAADA YA TALAKA
Binaadamu wa kwanza tajiri Duniani, ambaye ndie mmiliki wa mtandao wa Amazon Jeff Bezos, amekubali kumpa HISA mkewe MacKenzie ya 4% ya umiliki wa kampuni hiyo kubwa duniani baada ya kutalakiana itakay
NEWS: NIDA YAPIGA MARUFUKU WATU KUOMBWA AFFIDAVIT KITAMBULISHO CHA TAIFA
Dar es salaam: Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) imepiga marufuku utaratibu unaofanywa na baadhi ya Maofisa wa NIDA wasio waadilifu wa kuwaomba wananchi Viambatanisho vingi ikiwemo kuwalazimish
NEWS: PROF. LIPUMBA ALISHANGAA BUNGE KUTOFANYA KAZI NA CAG
Dar es Salaam: Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba ameshangazwa na uamuzi wa Bunge wa kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad kwa madai ya Ku