- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SEREKALI YAKANUSHA KUZUIA RIPOTI YA IMF JUU YA UCHUMI WA TANZANIA
Dodoma: Waziri wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango amesema Serikali haijazuia kuchapishwa ripoti ya tathimini ya Uchumi wa Tanzania na Shirika la Fedha Duniani (IMF) bali inaendelea na mazungumzo na
NEWS: RAIS TSHISEKEDI AKUTANA NA KABILA KUFANYA UTEUZI WAZIRI MKUU
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Antoine Felix Tshisekedi Tshilombo jana jumatatu alikutana na Mtangulizi wake Rais wa zamani wa nchi hiyo Bw. Joseph Kabila na kufanya mazungumzo kuhusu nafas
NEWS: MBUNGE BOBI WINE AKAMATWA TENA NA JESHI LA POLISI
Uganda: Mbunge wa Kyadondo Mashariki Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine amekamatwa na Jeshi la Polisi nchini Uganda baada ya yeye na wafuasi wake kugombana na maafisa wa polisi kufuatia hatua ya
NEWS: SEREKALI KUWACHUNGUZA POLISI WANAOJIHUSISHA BIASHARA DAWA ZA KULEVYA
Naibu Wazari wa Mambo ya Ndani ya Nchi Hamad Yussuf Masauni amesea Serekali imepanga kuunda tume ya kuchunguza askari wasio waadilifu ambao wanadaiwa kujihusisha na kuomba na kupokea rushwa kama njia
NEWS: WATU ZAIDI YA 160 WAMEUWAWA KWENYE MILIPUKO YA MABOMU SRI LANKA
Watu zaidi ya 160 wameuawa kutokana na mfululizo wa mabomu yaliyoripuka kwenye mji mkuu wa Sri Lanka, Colombo. Polisi imethibitisha kuwa watu wengine zaidi ya 300 wamejeruhiwa.Kwa mujibu wa msemaji wa
NEWS: KOREA KASKAZINI IMEFANYA MAJARIBIO SILAHA ZAKE MPYA ZENYE NGUVU
Taifa la Korea Kaskazini limesema limefanyia majaribio silaha zake mpya, iliyozieleza kuwa ni silaha ya mwongozo iliyo na nguvu kuliko, likiwa ni jaribu la kwanza baada ya mazungumzo kati ya kiongozi
ASKOFU MAGONZA: KUNAWATU WAMEVAMIA MAKANISA WAKIJIFANYA KUTETEA WANYONGE
Askofu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Karagwe, Dk Benson Bagonza amewaonya vikali wanasiasa wanaotumia mwamvuli wa kutetea wanyonge kwa lengo la kujinufaisha kisiasa,
RIPOTI: NIKWELI URUSI ILIINGILIA UCHAGUZA LAKINI TRUMP HAUSIKI
Aliyekuwa Mkurungenzi wa FBI Robert Mueller amewasilisha Ripoti yenye kurasa 448 kuhusu uchunguzi maalum kubaini iwapo Urusi iliingia Uchaguzi wa urais nchini Marekani mwaka 2016 imewekwa wazi baada y
NEWS: JESHI LA SUDAN LAPIGA MARUFUKU BENKI KUU KUHAMISHA FEDHA
Baraza la Kijeshi nchini Sudan lililompindua Rais Omar Al- Bashiru, ambalo ndilo linaloongoza serikali ya mpito la nchi hiyo, limeiamuru Benki Kuu ya nchi hiyo, kuchunguza mara moja shughuli zote za u
NEWS: SAKATA LA CAG LAWAGOMBANISHA ZITTO NA MSEMAJI WA SEREKALI
Sakata la Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi mkuu wa Hesabu za Serekali (CAG) Prof. Mussa Assad limeendelea kuwa kaa la moto kwa viongozi wa serekali, wanasiasa na Wananchi baada ya leo asubuhi sakata hilo