- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAJAMBAZI WAIBA MASHINE YA ATM KWA KUTUMIA TINGATINGA
Nchini Ireland ya Kaskazini kumetokea tukio lisilo la kawaida pale ambapo Majambazi wametumia tingatinga kunyofoa mashine ya kieletroniki kutolea pesa ( ATM) hiyo kutoka kwenye ukuta wa duka moja kat
NEWS: BUNGE TANZANIA LAKATAA KUFANYA KAZI NA CAG
Dodoma: Katika hali isiyo ya kawaida, nchini Tanzania leo imeandika historia ya Bunge la Jamhuri ya Muungano kupitisha azimio la kutofanya kazi na Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof
NEWS: WATANZANIA MIL 2.7 NDIO WANAOLIPA KODI KATI YA MIL 55
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amesema haridhishwi na utendaji kazi wa TRA ambayo mpaka sasa inakusanyaji kodi kwa walipa kodi Milioni 2 na Laki 7 tu kati ya Wa
NEWS: WATU 28 MBARONI KWA KUWASHAMBULIA POLISI GEITA
Geita: Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashilikia watuhumiwa 28 wa kijiji cha Nyijundu kata ya Nyang'hwale kwa tuhuma za kuwashambulia na kuwajeruhi askari wa jeshi la polisi watatu waliokuwa wakimzu
NEWS: RAIS ERDOGAN AELEKEA KUPOTEZA MAMLAKA NCHINI UTURUKI
Chama cha AKP cha rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan kimeanguka vibaya mjini Ankara na kinaelekea kuupoteza pia mji wa kibiashara wa Istanbul kwenye Matokeo ya uchaguzi wa serikali za mitaa unaoende
NEWS: MBUNGE TOUFIQ AWATAKA WANANFUNZI KUACHANA NA MITANDAO YA KIJAMII.
MEMBE: Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma Fatuma Toufiq amewataka wanafunzi kutokujihusisha na mitandao ya kijamii na badala yake wasome kwa biidi ili waweze kufikia malengo yao ya baadae.Akizungum
NEWS: TUME YA UCHAGUZI YATANGAZA TAREHE YA UCHAGUZI ARUMERU MASHARIKI
Dar es salaam: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) umetangaza rasmi kuwa uchaguzi mdogo katika jimbo la Arumeru Mashariki ni utafanyika Mei 19, mwaka huu.Taarifa hiyo ameitoa Mwenyekiti wa NEC, Jaji Semi
NEWS: MAKOMBORA 5 YAMEFYATULIWA KWENDA ISRAEL KUTOKA GAZA
Jeshi la Israel limesema makombora matano yamerushwa kutoka ukanda wa Gaza kuelekea Israel baada ya siku ya maandamano ya umma ambapo vikosi vya Israeli vilíwauwa Wapalestina wanne karibu na mpaka wa
NEWS: WAWILI MBARONI KWA KUMUUA MWANAMKE MMOJA MKOANI KILIMANJARO
Rombo: Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro Hamis Issah amedhibitisha kuwakamata watuhumiwa wawili kati ya 5 waliomuua mwanamke mmoja mkazi wa kijiji cha Lessoroma kata ya Usseri wilaya ya Rombo Mko
NEWS: RAIS MAGUFULI AMTEUA ALIYEKATAA RUSHWA YA SHILINGI MILIONI 5
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli amemteua aliyekuwa Naibu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) Bw Adolf Ndunguru kuwa Naibu Katibu Mkuu Wizara ya fedha ya Mipango