- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
RAIS BIDEN ATAKA KUTATHIMINI UPYA UHUSIANO WA MAREKANI NA SAUDIA
Rais wa Marekani Joe Biden anataka "kutathmini upya" uhusiano wa Marekani na Saudi Arabia, Ikulu ya Marekani imesema siku ya Jana Jumanne. Kauli hiyo linafuatia kutokana na tatatizo la kidiplomasia ba
NEWS: WAZIRI WA ARDHI AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA WIZI
Aliyekuwa waziri wa Aridhi na Makazi nchini Kenya Amos Kimunya (kushoto) na watuhumiwa wengine wawili leo wameburuzwa mahakamani wakikabiliwa na kesi ya ufisadi ya kuuza shamba la umma lenye thamani y
NEWS: ABASI MTEMVU AWATIMUA TENA NDUGU ZAKE KWENYE NYUMBA YA MAMA YAO
Dar es Salaam. Aliekua Mbunge wa Jimbo la Temeke, Abbas Mtemvu ameidharau amri ya Mahakama ya Kituo Jumuishi cha utoaji Haki za Kifamilia (Ndoa, talaka na mirathi) iliyoweka zuio la muda la kutowafuk
NEWS: WAZEE KUNYWA POMBE KUSAHAU LISHE
CHEMBA: Wazee waishio maeneo ya Vijijini wamesema unywaji wa pombe uliokirithi hupelekea baadhi ya Wazee kutozingatia lishe nakupendekeza kuwepo kwa semina nyingi ambazo zitatoa elimu ili kupunguza c
NEWS: RAIS SAMIA NA RUTTO WAONDOA VIKWAZO 54 VISIVYO VYA BIASHARA
Rais wa Tanzania na mwenzake wa Kenya William Ruto wamezungumza na waandishi wa habari mapema leo katika Ikulu ya Dar es Salaam, ambapo viongozi hao wawili wameahidi kuongeza ushirikiano wa kibiashara
NEWS: URUSI YAFANYA MASHAMBULIZI MAKALI NCHINI UKRAINE
Ukraine. Vikosi vya jeshi la Urusi vimefanya mashambulizi makali katika mji wa Zaporizhia, kusini-mashariki mwa Ukraine na kuua raia 17. Usiku wa Jumamosi Oktoba 8 kuamkia Jumapili Oktoba 9, mji wa si
NEWS: URUSI UMEKICHUKUWA RASMI KIWANDA CHA NYUKLIA CHA UKRAINE
Hatimaye Urusi imetwaa rasmi kituo cha nyuklia cha Zaporizhia kusini mwa Ukraine, ambacho imekikalia kijeshi kwa miezi kadhaa, kulingana na agizo liliotiwa saini na Rais wa nchi hiyo Vladimir Putin ja
NEWS: BUNGE LA URUSI LAIDHINISHA UNYAKUZI WA MAJIMBO MANNE YA UKRAINE
Baraza la Seneti la Bunge la Urusi leo Jumunne limepiga kura ya kuidhinisha mikoa minne ya Ukraine iliyojimegea kuwa sehemu ya Russia, na kusukuma hasira kwa Ukraine na washirika wake wa magharibi na
NEWS: RAIS MUSEVEN AMPANDISHA CHEO MWANAE KUWA JENERARI KAMILI
Rais wa Uganda Yoweri Museven amemwondoa mtoto wake Jenerali Muhoozi Kainerugaba kwenye wadhifa wa kamanda wa jeshi la nchi kavu na wakati huo huo kumpandisha cheo kuwa jenerali kamili.Jenerali Muhooz
NEWS: MFALME ZUMARIDI AKUTWA NA KESI YA KUJIBU
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Mwanza leo Octoba 4, 2022 imewakuta na kesi ya kujibu mchungaji maarufu jijini Mwaza Diana Bundala maarufu Zumaridi na wenzake wanane wanaokabiliwa na kesi ya jinai.Z