- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: RAIS SAMIA ATEUA MAJAJI WA MAHAKAMA KUU
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameteua majaji 22 kuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania.Kwamujibu wa Taarifa iliyotolewa Ikulu ya Tanzania usiku wa leo Jumamosi, Agosti 6, 2022

CHINA YASITISHA UHUSIANO NA MAREKANI BAADA YA SPIKA PELOSI KWENDA TAIWAN
Utawala wa China umesema leo kuwa umesitisha ushirikiano katika maeneo mengine mengi kiwemo kufuta au kusitisha majadiliano na Marekani kuhusu masuala kadhaa kuanzia mabadiliko ya tabia ya nchi na juh

NEWS: MAREKANI YAMUUA KIONGOZI WA AL QAIDA
Rais wa Marekani Joe Biden usiku wa kuamkia leo Agosti 2,2022 ametangaza kuuwawa kwa kiongozi wa kundi la al-Qaida, Ayman al-Zawahiri na mashambulizi ya ndege yasiyo na rubani ya Marekani mjini Kabul,

NEWS: SIMBACHAWENE ATAJA VIMBAUMBELE VYA OFISI YAKE KWA MWAKA 2022/23.
DODOMA: Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu(Sera,Bunge na Uratibu)Mhe.George Simbachawene amesema vipaumbele vya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Taasisi zake kwa mwaka wa fedha Bajeti hiyo ya mwaka wa fedha 2022/23 ni sawa na ongezeko la asilimia 20.61 ukilinganisha na Bajeti ya Shilingi 80,179,385,000.00 iliyotengwa mwaka wa fedha 2021/22.Akizungumza Jijini Dodoma Waziri Simbachawene alipokuwa

SPORTS: FAHAMU UBUNIFU WA JEZI YA YANGA KWA MSIMU 2022/2023
Dar es salaam. Club ya Wanajangwani ya Yanga usiku wa kumakia leo Julai 29 imetambilisha jezi yake mpya kwa msimu wa 2022/2023. Jezi hizo zimebuniwa na Mbunifu mkongowe wa mavazi wa muda mrefu Sheria Ngowi na sasa Jezi hizo zitasambazwa na kuuzwa na wadhamini wao GSM company.Katika jezi hizo yanga imefanya ubunifu mkubwa sana, Ubunifu wa jezi ya nyumbani (home kit) ya Yanga imeanzia kwenye kutanga

NEWS: IRAN YAWAKAMATA MAMLUKI WA KIJASUSI WA ISRAEL
Mamlaka za kijasusi nchini Iran zimewakamata watu wanne akiwemo kiongozi wa matandao wa kijasusi wanaohusishwa na vitengo vya kijasusi vya Israel (MOSSAD).Iran haijataja uraia wa majasusi hao japokuwa

NEWS: MADIWANI TABORA WAKOSOA UTEUZI WA RAIS SAMIA
Tabora. Baraza la Madiwani wa Manispaa ya Tabora wamesikitishwa vikali na uamuzi wa Rais Samia Suluhu Hassan alioufanya wa kumteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya wa Tabora Dk Yahaya Nawanda kuwa Mkuu wa Mko

NEWS: RAIS SAMIA AWATEMA WAKUU WA MIKOA 9, HUKU CHALAMILA AKILA TEUZI TENA
Dar es Salaam. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amewatoa madarakani wakuu wa mikoa tisa akiwemo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi huku akifanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wapya ili kuziba n

NEWS: DAWA YA MKONGO YAPIGWA STOP
Dar es salaam. Baraza la Tiba Asili na Tiba Mbadala nchini Tanzania, limeipiga marufuku matumizi ya dawa aina ya Hensha maarufu Mkongo, inayomilikiwa na kituo cha Nyasosi Traditional Clinic cha jijini

NEWS: HAJI MANARA AFUNGIWA MIAKA 2 NA TFF
Dar es salaam. Kamati ya Maadili ya TFF, imemfungia Msemaji wa Klabu ya Yanga, Haji Manara kutojihusisha na masuala ya soka ndani na nje ya nchi kwa miaka miwili na faini ya Sh20 milioni kwa kosa la k