- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WAZIRI MKUU WA JAPANI APIGWA RISASI
Japan. Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Japani Shinzo Abe amepigwa risasi mbili mgongoni na kujeruhiwa vibaya sana alipokuwa katika mkutano wa siasa kwenye mji wa Nara Magharibi mwa nchi hiyo.Ripoti zinasema
NEWS: UGANDA YAIDHINISHA MATUMIZI YA KISWAHILI
Bazara la mawaziri nchini Uganda, limeidhinisha matumizi ya lugha ya Kiswahili kutumika nchini humo mbali na lugha ya kingereza.Bazara hilo katika maamuzi yake limekubali kutekelezwa kwa mapendekezo y
NEWS: UNAWEZA KUANGALIA MATOKEO YA KIDATO CHA 6 MWAKA 2022
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo siku ya Jumanne Julai 5, 2022 limetangaza matokeo ya mitihani wa kidato cha sita na huku Baraz likisema ufaulu umeongezeka kwa asilimia 99.87.Akitangaza matokeo
NEWS: MANARA AMUOMBA RADHI RAIS KARIA
Msemaji wa club ya mabingwa wa Tanzania Bara Yanga, Haji Manara leo amemuomba radhi rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wallace Karia kwa majibizano wakati wa mechi ya fainali ya FA kwenye uwan
NEWS: MABOSI WA MAMLAKA YA BANDARI WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Dar es Salaam. Waliokuwa wafanyakazi wa ngazi za juu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) wamefikishwa leo Juni 30,2022 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka matatu, likiwamo
NEWS: KINA MDEE KUJIELEZA SABABU ZA KUPINGA KUVULIWA UWANACHAMA
Dar es Salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania masjala ya Dar es salaam imeanza kusikiliza sababu za kina Halima Mdee na wenzake 18 kuomba ridhaa ya kufungua kesi kupinga kuvuliwa uanachama wa Chadema, huku
NEWS: UMOJA WA ULAYA WAZIPA HADHI UKRAINE NA MOLDOVA KUJIUNGA EU
Viongozi wa Umoja wa Ulaya jana Alhamisi wamezipa Ukraine na Moldova 'hadhi ya kuwa wagombea' kujiunga na umoja huo.Uamuzi huo ulifikiwa baada ya majadiliano baina ya viongozi wa nchi 27 wanachama wa
NEWS: SPIKA TULIA AAGIZA KUFUTWA MANENO YA WAZIRI MABULA
Dodoma. Spika wa Bunge, wa Tanzania Dk Tulia Akson leo Alhamisi ametoa mwongozo wa Bunge kuhusu maneno aliyoyatumia Waziri wa Ardhi, Angelina Mabula ya kumvaa mbunge wa Mlimba, Godwin Kunambi kuwa hay
NEWS: WATU ELFU MOJA WAFA KWA TETEMEKO AFGANSTAN
Tetemeko kubwa la ardhi limetikisa mashariki mwa Afghanstan mapema leo na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 1,000. na wengine 1,500 wamejeruhiwa. Hata hivyo, maafisa wamesema iidadi ya vifo inataraji
NEWS: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI KESI YA KINA MDEE NA WENZAKE
Dar es Salaam. Mahakama Kuu kanda ya Dar es Salaam hatimaye imeyatupilia mbali maombi ya waliokuwa wanachama wa chama kikuu cha upinzani Chadema wakina Halima Mdee na wenzake kutokana na kasoro katika