- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SEREKALI YABAINI MTAHIMIWA BINTI IPTISAM ALIBADILISHIWA NAMBA
Dar es Salaam. Serikali imeifungia Shule ya Awali na Msingi Chalinze Modern Islamic kuwa kituo cha mitihani kwa muda usiojulikana mra baada ya taarifa ya Kamati ya Mitihani ya Mkoa wa Pwani pamoja na
SEREKALI: MARUFUKU KURITHI SILAHA YA NDUGU YAKO
Dar es salaam. Mkuu wa kitengo cha Usimamizi, Udhibiti wa Usajili Silaha na Leseni kutoka jeshi la polisi Tanzania Reinada Millanzi amesema kuwa, hakuna urithi wa silaha kutoka mtu moja kwenda kwa mwi
NEWS: MUHINDI RISH SUNAK AMEKUWA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA
Aliyekuwa Waziri wa fedha nchini Uingereza, Rishi Sunak, ameteuliwa leo Jumatatu kuwa kiongozi wa chama cha Conservative, na sasa antarajiwa kuchukua uongozi wa nchi hiyo kama waziri mkuu wa Uingereza
NEWS: NFRA YASHUSHA NEEMA KWA HALMASHAURI 9 NCHINI.
DODOMA: Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula nchini (NFRA) imesema imeanza kupeleka chakula cha bei rahisi katika halmashauri tisa nchini zenye mfumuko mkubwa wa bei za vyakula.Akizungumza Afisa Mt
NEWS: SABABU ZA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA LIZ TRUSS KUJIUZULU
Waziri mkuu wa Uingereza Liz Truss amejiuzulu. Truss amejiuzulu hii leo, wiki sita tu baada ya kuchukuwa wadhifa huo, licha ya hapo jana kusisitiza kwamba hatang'atuka mamlakani. Truss amejiuzulu baad
NEWS: SEREKALI KULIFUTA DARASA LA SABA
Dar es salaam(na MuakilishiTZ). Serekali imesema kuwa imedhamiria kuondoa darasa la Saba hivi karibu hivyo Elimu ya Msingi nchini Tanzania itakomea Darasa la sita na hakutakuwa na mitihani ya taifa ku
NEWS: ZITTO AMWAGIA SIFA RAIS SAMIA KIGOMA
Kigoma. Kiongozi wa chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Zuberi Kabwe amemwamgia sifa kedekede Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa CCM taifa Samia Suluhu Hassan kwa kusema kuwa hali ya kisiasa nchini imekuwa
NEWS: VYUMBA VYA FARAGHA, NDOA ZA UTOTO BADO KIZUNGUMKUTI CHAMWINO.
CHAMWINO: Wanafunzi wa Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma wameendelea kulia ukosefu wa nyumba vya Faragha , vifaa Kama Taulo za kike ,hali hiyo hupelekea ongezeko la utoro kwa watoto wa kike pindi wanapo
SPORTS: KARIM BENZEMA ASHINDA TUZO YA BALLON D’OR
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya Ufaransa na club ya Real Madrid Karim Benzema ametangazw mshindi wa tuzo ya mchezaji bora wa soka duniani ya "Ballon d'Or" kwa msimu wa mwaka 2021/2022. Hafla ya tuzo
NEWS: TRUMP KUJITETEA MBELE YA BUNGE LA MAREKANI
Kamati ya bunge la Marekani inayochunguza matukio yaliyopelekea shambulizi la Januari 6, mwaka 2021, ilipiga kura kwa kauli moja Alhamisi, kumtaka Rais wa zamani Donald Trump, afike mbele yake kutoa u