- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: PPRA YASAINI MKATABA NA UNDP WA BIL.40/-
DODOMA: Mamlaka ya ununuzi wa Umma PPRA imesaini mkataba wa ushirikiano na shirika la mpango wa maendeleo la umoja wa mataifa UNDP wa (Dola milioni 17) zaidi ya billion 40 kwa lengo la kuboresha utendaji kazi wa PPRA ikiwa ni pamoja na kuwajengea uwezo wazawa kuchangamkia fursa katika miradi ya maendeleo.Mkataba huo umesainiwa leo Jumatano April 24, 2024 Jijini Dodoma ambapo afisa Mtendaji mkuu wa
NEWS: VIWANDA 57 NCHINI VINATUMIA GESI ASILIA
DODOMA: Meneja wa biashara ya Gesi Asilia kutoka Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), Mhandisi Emmanuel Gilbert ameeleza kuwa viwanda 57 nchini kutika mikoa ya Dar es Salaam, Mtwara,Lindi na Pwani vinatumia Gesi Asilia ambapo awali vilikuwa vinatumia mafuta mazito (Industrial Dizeli). Akizungumza jijini hapa katika Maonesho ya Wiki ya Nishati kwenye viwanja vya Bunge alisema kuwa wate
NEWS: TSHISEKEDI ACHAGULIWA TENA KUGOMBEA URAIS NCHINI CONGO
DRC Congo. Wajumbe wa mungano wa chama cha kisiasa cha Union Sacree unaohusisha wanasiasa wa Kongwe na maarufu nchini Congo kama waziri wa ulinzi Jean Pierre Bemba na waziri wa uchumi Vital Kamerhe, w
NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
Dar es salaam. Mamlaka nchini Tanzania kupitia Wizara ya Habari imekanusha kuwashikilia aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Sweden, Dk Wilbrod Slaa na wenzake wawili (Wakili Mwambukuzi, na Mwanachama
NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
Kiongozi wa serikali ya Niger Jenerali Abdourahmane Tchiani amemteua waziri wa zamani wa fedha Ali Mahaman Lamine Zeine kuwa waziri mkuu mpya kufuatia mapinduzi ya Julai 26. Bw. Zeine anachukua nafasi
NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
Thamani ya Shilingi ya Kenya, imeporomoka pakubwa dhidi ya dola ya Marekani na kufikia kiwango ambacho kimsingi hakijawahi kushuhudiwa katika historia ya kuundwa kwa Kenya, inaripoti Gazeti la Busines
SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
Rwanda inachukulia hatua ya Ubelgiji kukataa kuidhinisha uteuzi wa balozi wake kama jambo la kusikitisha msemaji wa serikali ya Rwanda alisema Jumatano, akiongeza kuwa hatua hiyo haina ishara nzuri kw
NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un leo amekutana na waziri wa Ulinzi wa Urusi Sergei Shoigu kujadili masuala mbalimbali ya kijeshi na mazingira ya usalama wa kikanda.Mjumbe huyo wa Rais Vladimir Puti
AFYA: NAMNA YA KUKABILIANA NA GESI YA TUMBO
Maumivu ya gesi ni mojawapo ya matatizo ya kawaida ya tumbo ambayo husababisha usumbufu mwingi kwa watu wengi. Kawaida hutokea wakati gesi inapoundwa kwenye utumbo na kunaswa badala ya kutolewa na mwi
NEWS: EWURA YAWAONYA WANAOFICHA MAFUTA
Dar es salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema imepata taarifa ya uwepo wa baadhi ya Kampuni za Mafuta hapa nchini kuhodhi mafuta kwa ajili ya maslahi binafsi ya kibia