- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: EWURA YAWAONYA WANAOFICHA MAFUTA
Dar es salaam. Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imesema imepata taarifa ya uwepo wa baadhi ya Kampuni za Mafuta hapa nchini kuhodhi mafuta kwa ajili ya maslahi binafsi ya kibia
NEWS: MIILI YA WATOTO WALIONYOFOLEWA MACHO NA KUCHUNWA GOZI WAZIKWA
Tabora. Hatimaye Watoto mapacha waliozaliwa kabla ya wakati na mmoja wao kunyofolewa jicho na ngozi ya paji la uso wakiwa Kituo cha Afya Kaliua, miili yao imezikwa kimila ndani ya nyumba katika kijiji
NEWS: LIFT YAANGUKA MILLENIUM TOWER DAR
Dar es salaam. Watu saba wamenusurika kifo baada ya lifti kuanguka kutoka ghorofa ya 10 katika jengo la refu la Millenium Tower lililopo Kijitonyama Jijini Dar es salaam, majeruhi hao wamepelekwa kat
NEWS: IKUNGI YAMETIMIA, STENDI YA KISASA KUJENGWA.
DODOMA: Mbunge wa Singida Mashariki (CCM), Miraji Mtaturu ameihoji serikali ni lini itajenga stendi ya kisasa Ikungi kutokana na umuhimu wa stendi hiyo ambayo inapokea magari mengi yanayopita yakielek
NEWS: IDADI YA VIFO KATIKA JENGO LILILOSHAMBULIWA NA URUSI YAFIKIA 40
Mamlaka nchini Ukraine, zimesema idadi ya waliokufa kutokana na shambulizi la kombora la Russia kwenye jengo la ghorofa huko Dnipro imeongezeka hadi kufikia 40.Wakati idadi ikiongezeka waokoaji walien
NEWS: UKATILI TISHIO CHAMWINO.
CHAMWINO: Ukatili katika wilaya ya Chamwino bado ni tatizo licha ya Serikali na mashirika kuendelea na kampeni ya kupinga.Takwimu zilizotolewa Desemba 9, 2022 na afisa ustawi wa jamii Wa Wilaya hiyo
NEWS: WAKULIMA WAITUPIA JIKO SERIKALI UTAFITI MBOLEA ASILI
DODOMA: Kutokana na wakulima nchini kukabiliwa na Changamoto ya upatikanaji wa mbolea za mashambani, wameiomba Serikali kuzifanyia utafiti mbolea za asili zinayozalishwa na mifugo wakiwemo ng’ombe
NEWS: KESI YA KINA HALIMA MDEE YAPIGWA KALENDA TENA MPAKA MARCH 2023
Dar es salaam. Mahakama Kuu ya Tanzania imeahirisha usikilizwaji wa kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama, iliyofunguliwa na wabunge wa viti maalum 19 akiwemo Halim Mdee dhidi ya kilichokuwa chama chake
NEWS: UKATILI WA KIJINSIA WAZIMA NDOTO ZA WANAFUNZI.
BAHI: Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Msichana Initiative Rebeca Gyumi amesema toka mwaka 2017 hadi 2018 matukio zaidi ya 404 ya ukatili wa kijinsia yametokea ambapo ndoa za utotoni na ukatili mwing
NEWS: NECTA YAFUNGIA SHULE 24 KUFANYA TENA MITIHANI
Dar es Salaam. Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limezifungia shule 24 kuendelea kuwa vituo vya kufanyia mitihani ya Taifa mara baada ya kugundulika kupanga kufanya udanganyifu katika mitihani ya k