- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: NAIBU WAZIRI ATUHUMIWA KWA KUCHOCHEA MIGOGORO YA ARDHI
Babati. Serekali mkoani Manyara imewatuhumu vikali Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Pauline Gekul na Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji wa Babati, Abdulrahaman Kololi kwa kuhusika kuchochea
NEWS: RC MARA AWATIMUA KIKAONI WAWAKILISHI 6 WA WABUNGE WA MARA
Musoma. Mkuu wa Mkoa wa Mara (RC), Meja Jenerali Suleiman Mzee amewafukuza kikaoni wawakilishi sita wa wabunge wa Mkoa wa Mara kwenye kikao cha bodi ya barabara kwa maelezo ya kwamba wabunge wa mkoa h
NEWS: ULAYA KUIPA URUSI HADHI YA TAIFA LINALOFADHILI UGAIDI
Wabunge wa Umoja wa Ulaya wanatarajiwa leo kuipa Urusi hadhi ya taifa linalodhamini ugaidi kutokana na matendo ya nchi hiyo katika vita vyake dhidi ya Ukraine. Itakuwa mara ya kwanza kwa Umoja wa Ulay
NEWS: RIPOTI YA AJALI YA NDEGE YA PRECISION YABAINI UZEMBA WA UONGOZI
Dar es Salaam. Ripoti ya awali ya uchunguzi wa ajali ya ndege ya Shirika la Precision Air, imebaini udhaifu mkubwa katika uongozi hasa ikitupia jicho katika Jeshi la wanamaji baada ya ripoti kufafanua
NEWS: MAGANDA YA MAYAI YATUMIKA KAMA TIBA YA MIMEA.
DODOMA: Ikiwa tunaendelea na Msimu wa Mvua, Wakulima wameshauriwa kutumia kilimo ikolojia ikiwemo mbegu bora, Mbolea za asili ili kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabia ya nchi, kutengeneza rut
NEWS: KOCHA WA SIMBA NA WENZAKE WAFIKISHWA MAHAKAMANI
Dar es Salaam. Watuhumiwa sita akiwemo kocha wa makipa wa timu ya Simba, Muharami Sultan (40) wamefikishwa leo Jumatatu Novemba 21, 2022 katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na mashtaka
NEWS: BODI YA MIKOPO HESLB YAWAONGEZEA WANAFUZI BILIONI 84 ZA MIKOPO
Dar es Salaam. Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu Tanzania (HESLB) imesema kwamba imeongeza tena shilingi Bilioni 84 kwenye bajeti yake ya mikopo kwa mwaka huu wa masomo 2022/2023 ambayo ni sawa na asili
NEWS: MAHAKAMA YAAMURU RAIS ZUMA ARUDISHWE GEREZANI
Mahakama ya Juu ya Rufaa ya Afrika Kusini imeamuru tena aliyekuwa Rais wa nchi hiyo Jacob Zuma kurejea gerezani baada ya kukubaliana na uamuzi wa awali kwamba ruhusa ya matibabu ilikuwa kinyume cha sh
NEWS: WALIMU DARASA 3 NA 4 WAFANYIWA TAFITI NA TATHIMINI NA ADEM.
DODOMA: Katika kipindi cha mwaka 2020/2021,Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa elimu na usimamizi wa elimu (ADEM) umefanya tafiti mbalimbali zikiwemo za tathimini ya matokeo ya Mafunzo ya KKK kwa Walim
NEWS: TANESCO YAENDELEA KUSHUSHA NEEMA KWA WANANCHI.
KONDOA: Shirika la Umeme Tanzania TANESCO Mkoa wa Dodoma limeendelea na zoezi la uelimishaji na uhamasishaji katika vijiji vinavyonufaika na miradi ya umeme inayoendelea Wilayani Kondoa kupitia wakala