Home | Terms & Conditions | Help

April 3, 2025, 12:05 pm

NEWS: CHATANDA ACHANGIA MILIONI 2.66 KUFANIKISHA UNUNUZI WA GARI KANISA KUU LA KKKT JIMBO LA SONGEA

SONGEA: Mwenyekiti wa UWT Taifa, Ndg Mary Pius Chatanda (MCC) ameongoza harambee ya ununuzi wa gari kwa ajili ya usafiri wa Mchungaji Julia Philemoni katika Kanisa Kuu la Jimbo la KKKT Songea.

Katika harambee hiyo, Chatanda alichangia pesa taslimu Shilingi Millioni Mbili na Laki Sita na Elfu Sitini (2,660,000/=).