- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MAHAKAMA YATOA AMRI YA KUKAMATWA ZITTO KABWE
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo imeamuru kukatwa kwa kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe kwa kukiuka Masharti ya dhamana katika kesi yake ya uchochezi inayomkabili katika m
NEWS: LHRC KUZINDUA RIPOTI YA HAKI ZA BINAADAM MTANDAONI
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania(LHRC) kimetangaza kwa mara ya kwanza kuzindua Ripoti ya Haki za Binadamu nchini Tanzania ya mwaka 2019 kidijitali kupitia tovuti yao na mitandao ya
NEWS: WAFUASI WA CHADEMA WAPIGWA MARUFUKU KUINGIA MAHAKAMANI
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam imepiga marufuku kwa wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kuingia katika mahakama hiyo kusikiliza rufaa iliyokatwa na Mwenyekiti wa ch
NEWS: MBUNHE SELASINI AACHIA NGAZI CHADEMA BAADA YA KUONDOLEWA WHATSUP
Mbunge wa Rombo Joseph Selasin ametangaza kuachana na Chama Chake cha Chadema na kujiunga na chama cha NCCR - Mageuzi baada ya kumaliza kipindi chake cha Ubunge mwaka huu. Selasini ametangaza uwamuzi
NEWS: ZANZIBAR YATANGAZA ONGEZEKO LA WAGONJWA WAPYA 7 WA CORONA
Wizara ya Afya visiwani Zanzibar imetangaza ongezeko la wagonjwa wapya 7 wenye virusi vya Corona (Covid-19) na kufanya idadi ya wagonjwa visiwani humo kufikia 105 kutoka 94 tangu ilipotangazwa Aprili
NEWS: JAJI MKUU AUGOSTINO AFARIKI DUNIA TANZANIA
Jaji Mkuu Mstaafu wa Tanzania, Augustino Ramadhan amefariki Duni leo saa 2 asubuhi Aprili 28, 2020 katika Hospitali ya Agha Khan Jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu.Marehemu Jaji Ramad
NEWS: MAHAKAMA YATUPILIA MBALI KESI YA KUVULIWA UBUNGE LISSU
Mahakama Kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es Salaam kwa mara ya pili tena, imetupilia mbali maombi ya aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ya kujaribu kupinga uamuzi wa kuvuliwa ubunge na S
NEWS: WATU 7 WASHIKILIWA NA POLISI KWA KUPANDISHA BEI YA SUKARI
Serekali imewatia mbaroni wafanyabiashara saba mkoani Tanga kwa kujihusisha na kuuza sukari kwa bei ya juu zaidi ya ile iliyopangwa na Serikali kama bei elekezi mwishoni mwa wiki hii. Afisa Miliki Mwa
NEWS: RAIS WA KOREA KASKAZINI YU HAI NA ANAENDELEA VIZURI
Mshauri mkuu wa Serekali ya Korea Kusini Moon Chung-in amesema kuwa Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong Un yupo hai na anaendelea vizuri Mshauri huyo wa Sera za Njee wa Rais wa Korea Kusini Moon Jae-in
NEWS: MUHIMBILI WAFUNGA MASHINE ZA KUSAFISHA DAMU
Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) imefunga mashine tatu za kusafisha damu kwa wagonjwa wenye matatizo ya figo, mashine hizo zinathamani ya TZS. 210 Mil na inatarajia kufunga mashine moja ya kusaidia