- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
RAIS MAGUFULI MEI MOSI: SISI TUENDELEE KUCHAPA KAZI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli amewapongeza na kuwatakia heri Wafanyakazi wote hapa nchini ambao leo tarehe 01 Mei, 2020 wanaadhimisha siku ya wafanyakazi (Mei Mosi)
NEWS: WAZIRI AUGUSTINE MAHIGA AFARIKI DUNIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli anatangaza kifo cha Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Balozi Dkt Augustine Philip Mahiga (Mbunge) kilichotokea leo alfajiri tarehe 01 Mei, 2
NEWS: DC CHEMBA AHUKUMIWA KULIPA MILIONI 7 ZA MATUNZO YA MTOTO
MAHAKAMA ya Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam, Imetupilia mbali rufaa iliyokatwa na Mkuu wa wilaya ya Chemba Simon Odunga kupinga hukumu ya Mahakama ya Mwanzo Ukonga iliyoamuru Mh. Odunga kutoa Sh.
NEWS: MAHAKAMA YAMUACHILIA HURU MBUNGE CECIL MWAMBE
Mahakama ya Mkoa wa Mtwara, imemwachia huru aliyekuwa Mbunge wa Ndanda (Chadema), Cecil Mwambe katika kesi ya uchochezi namba 263 ya mwaka 2017 iliyokuwa inamkabili.Katika kesi ya msingi Mwambe alishi
NEWS: POLISI WADHIBITISHA KUMSHIKILIA WAKILI ALBERT MSANDO
Jeshi la Polisi Mkoani Arusha limedhibitisha kumshikilia Wakili na Mfanyabiashara nchini Tanzania Albert Msando kwa tuhuma za kutoa taarifa za uchochezi dhidi ya Serikali kuhusu Ugonjwa wa Corona.Kaim
NEWS: IVORY COAST KUJIONDOA MAHAKAMA YA AFRICA YA HAKI ZA BINAADAM
Nchi ya Cote d'Ivoire imetangaza kujiondoa kwenye Mahakama ya Afrika ya Haki za Binadamu yenye makao yake mjini Arusha, nchini Tanzania kwa MADAI kuwa haina imani na Mahakama hiyo.Uwamuzi wa nchini h
NEWS: MBUNGE WA SUMVE MWANZA AFARIKI DUNIA
Mbunge wa Jimbo la Sumve mkoani Mwanza, Richard Ndassa amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Aprili 29, 2020 jijini Dodoma.Ndassa ambaye ni mbunge kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) amekuwa bungeni tang
NEWS: WAZIRI MKUU WA ZAMANI WA IVORY COAST AHUKUMIWA MIAKA 20 JELA
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Cote d'Ivoire(IVORY COAST) na kiongozi wa zamani wa waasi Guillaume Soro amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela baada ya kupatikana na kosa la wizi na utakatishaji wa fedha Nch
NEWS: MALAWI KUWAGAWIA WANANCHI WAKE ELFU 90 KILA MWEZI
Rais Arthur Peter Mutharika wa Malawi amsema taifa lake litazindua mradi wa dharura wa kusafirisha fedha ambao unatarajiwa kuwalenga watu milioni moja pamoja na wafanyabiashara wadogo waliathiriwa na
NEWS: TANZANIA YATANGAZA MAABUKIZI YA WAGONJWA WAPYA 196
Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa ametangaza ongezeko la wagonjwa wapya 196 wenye maambukizi ya virusi vya Corona nchini huku Tanzania Bara ikiwa na Wagonjwa 174 na Zanzibar wagonjwa 22, walitol