- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: BURUNDI YAKATAA KUSHIRIKI MAZUNGUMZO YA AMANI DHIDI YA UPINZANI
Bujumbura: Serikali ya Burundi inasema haitaweza kushiriki katika mazungumzo ya amani kuhusu nchi hiyo yanayofanyika mjini Arusha nchini Tanzania kwa kuwa nchi hiyo iko katika maombolezo ya mwezi mzim
NEWS: WABABE WA KIVITA PUTIN NA TRUMP KUKUTANA MJINI PARIS
Taarifa kutoka Moscow zinadai kuwa Rais wa Urusi Vladimir Putin anatarajiwa kukutana na rais wa Marekani Donald Trump baada ya Trump kutishia kuwa Marekani itajiondoa katika mkataba wa kudhibiti silah
NEWS: SEREKALI IMEPANGA KUTUNIA BIL 1.2 KUBORESHA HUDUMA ZA MAJI NCHINI
Ruvuma: WAZIRI wa Maji, Profesa Makame Mbarawa amesema kuwa serekali imepanga kutumia Shilingi Bilioni 1.2 kwa ajili ya kuboresha huduma ya maji kwa miji 25 Tanzania Bara na Visiwani.Kauli hiyo ameit
NEWS: WALIOTENGENEZA MIFUKO FEKI YA SUKARI KUNYANGANYWA LESENI
Dodoma: Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amemuagiza Mkurugenzi wa Viwanda Nchini kuwanyang’anya leseni wamiliki wa viwanda wote waliothibitika kutengeneza mifuko ya sukari b
MAGAZETI YA LEO JUMATANO OCTOMBER 24, 2018
Karibu kwenye kurasa za Magazeti ya Leo siku ya Jumatano Octoba 24, 2018.
NEWS: SHULE 10 BORA NA 10 ZAMWISHO MATOKEO DARASA LA SABA
Dar es salaam: Baraza la Mitihani la Tanzania (NECTA) leo Jumanene limetangaza matokeo ya mtihani wa kuhitimu elimu ya msingi mwaka huu huku matokeo yakionesha ongezeko la ufaulu kwa asilimia 4.96 iki
NEWS: MKURUGENZI KAMPUNI YA MADINI YA BULYANHULU ABURUZWA MAHAKAMANI
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni za Madini za Bulyanhulu na North Mara,na Pangea (Pangea Minerals Limited), Asa Mwaipopo (55), amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Jumanne akikabiliwa
NEWS: KIWANGO CHA MAAMBUKIZI YA MALERIA KIMESHUKA 7.3%
Ripoti iliyozinduliwa jana kwa mwaka 2017/2018 na Wizara ya Afya imeonesha kuwa kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Maleria umepunguwa kwa asilimia 7.3 ikilinganishwa na matokeo ya tafiti ya mwaka 20
NEWS: WAZIRI ALITAKA JESHI LA POLISI KUTOA TAARIFA SAHIHI JUU YA AJALI WATUMISHI...
Singida: Waziri wa kilimo na Chakula Dkt. Charles Tizeba ameliangiza jeshi la polisi mkoa wa Singida kufanya uchunguzi upya wa chanzo cha ajali ya watumishi wa tano wa Wizara hiyo iliyotokea Oktoba 21
JE WAJUA: ZIFAHAMU NDEGE KUBWA ZAIDI KUWAHI KUUNDWA DUNIANI
Antonov An-225Kabla ya Vita Vikuu vya Pili vya Dunia kuliundwa ndege kama vile Dornier Do X ambayo ilikuwa kama meli kubwa na ndege ya ANT-20 ya Muungano wa Usovieti ambayo ilikuwa kubwa ya kimaajabu.