- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
JE WAJUA: ZIFAHAMU NDEGE KUBWA ZAIDI KUWAHI KUUNDWA DUNIANI
Antonov An-225
Kabla ya Vita Vikuu vya Pili vya Dunia kuliundwa ndege kama vile Dornier Do X ambayo ilikuwa kama meli kubwa na ndege ya ANT-20 ya Muungano wa Usovieti ambayo ilikuwa kubwa ya kimaajabu.Dornier Do X
ANT-20 ilikuwa na uzani wa tani 50 ilipokuwa inapaa, na mabawa yake yalikuwa na urefu wa futi 207 (mita 63). Ndege hii ilikuwa na chumba chake cha kupigia chapa, ukumbi wa sinema na chumba cha kutolea picha.
Ant-20
Kuundwa kwa injini ya jeti kuliwezesha ndege kubwa na nzito zaidi kuundwa.
Ni hapo ambapo ndege kubwa kama vile Airbus A380, ndege ya ghorofa yenye uwezo wa kubeba abiria zaidi ya 850 ziliundwa.
Airbus A380
Kuliundwa pia Antonov An-225, ndege kubwa ya mizigo ambayo inaweza kubeba mizigo ya tani 250. Ndege hiyo ni kubwa kuliko ambali
Hii ni Ndege kubwa zaidi kuwahi kuundwa duniani ni An-225 ya Antonov ambayo ina injini sita na urefu wake ni mita 84. Ndege hii ina uwezo wa kubeba karibu tani 250.
Antonov An-225Ndege kubwa zaidi wakati wa Vita Vikuu vya Pili vya Dunia ilikuwa B-29 iliyoundwa na Boeing. Ndiyo iliyoangusha mabomu ya atomiki Japan. Ilifungua ukurasa mpya wa ndege za kuangusha mabomu za kusafiri masafa marefu. B-29