- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: WAZIRI JAFO ATOA SIKU 14 KWA WAKURUGENZI WA HALMASHAURI ZAIDI YA 40.
DODOMA: Waziri wa nchi,ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) ametoa siku 14 kwa wakurugenzi wa halmashauri Zaidi ya 40 nchini kuwasilisha barua ya kujieleza ni kwa nini wasich
NEWS: WAZIRI MAJALIWA KUTUA DODOMA MAADHIMISHO YA SIKU YA KIMATAIFA YA VIJANA.
DODOMA: Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa, anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya miaka ishirini (20)ya siku ya kimataifa ya vijana kwa mwaka 2019 ambayo yata
NEWS: MHADHIRI CHUO CHA NIT AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA RUSHWA YA NGONO
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (TAKUKURU) imemfikisha mahakamni Mhadhiri wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Samsoni Mahimbo (68), kwa tuhuma ya kuomba rushwa ya ngono
NEWS: WALIOFARIKI AJALI YA MOTO MOROGORO WAONGEZEKA HADI 82
Hospitali ya Taifa ya Muhimbili imesema kuwa Majeruhi wengine 6 kati ya 38 wa ajali ya moto iliyotokea mkoani Morogoro waliokuwa wanapatiwa matibabu katika hospitali hiyo wamefariki dunia na kufanya i
NEWS: KESI YA LISSU DHIDI YA SPIKA NDUGAI KUSIKILIZWA KESHO
Kesi ya kupinga kuvuliwa ubunge iliyofunguliwa na aliyekuwa mbunge wa jimbo la Singida Mashariki, Tundu Lissu, itaanza kusikilizwa kesho.Jana Agosti 13, 2019 Mahakama kuu kanda ya Dar es salaam imet
NEWS:TAKUKURU DOM YAKOA ZAIDI YA MILIONI 135.
DODOMA: Taasisi ya kuzuia na kupambana na Rushwa[TAKUKURU] Mkoa wa Dodoma imeokoa Jumla ya Tsh.Milioni 135,laki 9 ,48 elfu na mia 193 kwa kipindi cha miezi 6.Hayo yameelezwa leo na Mkuu wa TAKUKURU M
NEWS: KIONGOZI MBIO ZA MWENGE AGOMA KUZINDUA MRADI WA MAJI MPWAPWA.
MPWAPWA: Kiongozi wa mbio za Mwenge wa uhuru kwa mwaka 2019 Mzee Mkongea Ally amegoma kuzindua mradi wa maji wa Mzase uliopo wilayani Mpwapwa kutokana na kasoro mbalimbali za mradi huo, ikiwamo kukose
NEWS: BARAZA LA HABARI WAITAKA POLISI KUTENDA HAKI MWANDISHI KABENDERA
Baraza la Habari Tanzania(MCT), Umoja wa Klabu za Waandishi wa Habari Tanzania(UTPC), Jukwaa la Wahariri (TEF) na Mtandao wa Watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC) kwa pamoja wametoa tamko kuhi
NEWS: WATU 17 MBARONI KWA WIZI WA MASHINE YA ULTRA SOUND
Jeshi la Polisi Mkoni Simiyu linawashikilia watu 17 wakiwemo wauguzi wa Hospitali ya mji wa Bariadi kwa tuhuma za kuiba Mashine inayotumika kupima magonjwa ya ndani na kutambua taarifa mbalimbali kati
SPORT NEWS: MESSI AINGILIA KATI UHAMISHO WA NEYMAR
Mshambuliaji wa timu ya Taifa ya Argentina Leonel Messi amemtaka rafiki yake ambaye ni Mshambuliaji wa club ya Paris St. German Neymar Jr. kukubali ofa ya wababe wa soka nchini Hispania Barcelona ili