- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MCHAWI AKAMATWA KWENYE NYUMBA YA MCHUNGAJI IRINGA
JESHI la Polisi Mkoa wa Iringa linamshikilia na kumhoji mwanamke Kabula Masunga(41), anayedaiwa kufanya Vitendo vya kishirikiana(uchawi) baada mama huyo kukutwa ameganda kwenye paa la nyumba la Mchung
NEWS: MWANDISHI ERICK KABENDERA KUENDELEA KUSOTA RUMANDE
Kesi ya Mwandhishi wa habari za uchunguzi, nchini Tanzania Erick Kabendera (39), anayekabiliwa na mashtaka matatu, likiwamo la kutakatisha zaidi ya Sh milioni 173, imelazimika kuhairishwa hadi Agosti
NEWS: RIPOTI YA LHRC "UKATILI WA KINGONO NA UBAKAJI WAONGEZEKA NCHINI"
Dar es Salaam. Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu nchini Tanzania (LHRC) imetoa Ripoti ambayo inaonesha haki za binadamu kuanzia Januari hadi Juni 2019 ubakaji na ukatili wa kimwili kwa watoto na wa
NEWS: WAZIRI MKUU WA UINGEREZA AGOMA KUITISHA BUNGE LA DHARURA
Waziri Mkuu wa Uingereza Boris Johnson amekataa wazo la kuitisha kikao cha bunge cha dharura kujadili suala la nchi hiyo kujiondoa Umoja wa Ulaya, Brexit, katika wakati huu wabunge wakiwa kwenye mapum
NEWS: MWALIMU MKUU KORTINI KWA KUMBAKA NA KUMPA UJAUZITO WANAFUZI
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Kigoma, imemsomea maelezo ya awali Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Nyantole, Jason Rwekaza (42), ambaye anakabiliwa na makosa saba ya kumbaka na kumpa mimba mwanafunzi
NEWS: UWT MBARALI VUNJENI MAKUNDI TUFANYE KAZI.
MBARALI: Kaimu Katibu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya Veronica Mwembezi amewasihi wanawake kuvunja makundi yaliyopo ili kujiweka tayari na kazi kubwa iliyopo mbele y
NEWS: SEREKALI YAPOKEA MKOPO WA SH. 414 BIL KUJENGA RING ROAD DODOMA
Serekali ya Tanzania imepokea mkopo wa dola za kimarekani $180m sawa na Tsh. bilioni 414 kutoka Benki ya Maendeleo ya Afrika AfDB kwa ajili ya ujenzi wa barabara za pete (ring road) ama mzunguko kwa
NEWS:MGOMO WA DALADALA WAITIKISA DODOMA.
DODOMA: Madereva Daladala katika kituo cha magari cha Sabasaba Jijini Dodoma wamegoma kufanya safari wakishinikiza wamachinga kuondolewa kutokana na ufinyo wa nafasi katika eneo hilo.Mgomo huo uliyo
NEWS: IRAN YAIONYA MAREKANI KUSUDIO LA KUIZUIA MELI YAKE YA MAFUTA
Serekali ya Iran imesema leo Agosti 18, 2019 kuwa imeionya Marekani dhidi ya jaribio la kuikamata meli ya mafuta ya Iran Greece 1 ambayo imeondoka eneo la Gibraltar, licha ya juhudi za Marekani kuizu
NEWS: MSAJILI WA NGOs ATOA SIKU 7 KWA MASHIRIKA YASIYOHUISHA TAARIFA ZAKE
DODOMA: Ofisi ya msajili wa Mashirika yasiyo ya kiserikali(NGOs) imeongeza muda wa wiki moja kwa mashirika yasiyohuisha taarifa zake kuweza kufanya hivyo la sivyo yatakuwa yamejiondoa kwenye rejista