- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: GABON YAMPIGA MARUFUKU MWANDISHI WA RFI UFARANSA
Mamlaka ya juu ya Mawasiliano nchini Gabon imetangaza jana usiku kwenye runinga kuwa imempiga marufuku mwandishi wa Habari wa Chombo cha Habari cha ufaransa (RFI) Yves-Laurent Goma.Goma amepigwa maruf
NEWS: DKT SHOO ACHAGULIWA TENA KUWA MKUU WA KANISA KKKT
Aliyekuwa mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dk Frederick Shoo amechaguliwa tena kuliongoza kanisa hilo baada ya kupata kura 144 dhidi ya 74 za mpinzani wake.wa maana hiyo Dk Sho
NEWS: WAUGUZI FANYENI KAZI KWA PAMOJA.
DODOMA:Wauguzi wote nchini wametakiwa kufanya kazi kwa pamoja na kuacha tabia za ubinafsi ili kuweza kuwasaidia wananchi wanaofika kwenye vituo vya kutolea huduma za afya kupata huduma bora na kwa wak
NEWS: SEREKALI YATOA UFAFANUZI KUFUTWA HOSPITALI YA CCBRT
Serekali imesema kuwa haina mpango wa kufuta shughuki zinazoendeshwa na Taasisi ya Hospitali ya CCBRT na PSI na badala yake kinachofanyika kwasasa ni kuhuisha usajili wa taasisi hizo kulingana na maba
NEWS: RAIS MAGUFULI AFANYA MAZUNGUMZO NA MABALOZI WANAOIWAKILISHA NCHI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza katika Kikao na Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi mbalimbali za nje Ikulu jijini Dar es Salaam Rais
KOREA KUSINI IMEVUNJA MKATABA WA KUPEANA TAARIFA ZA KIJASUSI NA JAPAN
Korea kusini imeamua kusitisha makubaliano ya kubadilishana taarifa za kijasusi na Japan ambayo kimsingi yalianzishwa ili kubadilishana taarifa juu ya shughuli za uzalishaji wa nyuklia na makombora ya
NEWS: WANAWAKE WAWEKEWA MIKAKATI YA KUGOMBEA NAFASI MBALIMBALI ZA UONGOZI.
DODOMA: Serikali imeweka mikakati ya kuhakikisha wanawake wanashirikishwa katika nafasi mbalimbali za uongozi ya 50 kwa 50 kufikia mwaka 2025.Mkakati huo ni Kufwatia Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa
NEWS: CHAMA CHA MABUNGE AFRIKA KUKUTANA ZANZIBAR
Spika wa Bunge, la Tanzania Job Ndugai ametoa taarifa ya uwepo wa Mkutano wa 50 wa Chama cha Mabunge ya Jumuiya ya Madola Kanda ya AfrikaTaarifa hiyo ya spika ameitoa leo Agosti 22, 2019 wakati akizun
NEWS: UBALOZI WA MAREKANI WAENDELEA KUIGANDA TANZANIA KESI YA KABENDERA
Kwa mara nyingine tena Ofisi za ubalozi wa Marekani na Uingereza nchini Tanzania zimeendelea kuiganda Serekali ya Tanzania kutokana na kesi ya mwanahabari maarufu wa Habari za kiuchunguzi nchini Tanza
MUSIC: HARMONIZE AOMBA KADI NYEKUNDU WCB, AVUNJA UTARATIBU WASAFI FESTIVAL
Msanii wa Bongo fleva kutoka nchini Tanzania kwenye Ardhi ya Nyerere Harmonize ameomba kuondoka kwenye label ya wasafi classic baby (WCB).Kwamujibu wa Taarifa iliyotolewa jana Agosti 22, 2019 na Menej