- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
LUGOLA " MARUFUKU POLISI KUPIGA FAINI BODABODA NA BAJAJ YA HAPO KWA PAPO"
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola amepiga marufuku Polisi wote nchini wa Usalama Barabarani kuwalipisha faini waendesha bajaji na bodaboda papo kwa papo wanapofanya makosa barabarani na
NEWS: VYAMA 18 VYAJITOKEZA KUSHIRIKI UCHAGUZI MDOGO WA UDIWANI
Tume ya Taifa ya Uchaguzi imetoa taarifa kwa Umma kuhusu Uchaguzi Mdogowa Udiwani katika Kata 13 za Tanzania Bara utakaofanyika tarehe 17 Agosti mwaka 2019,kwa kuzingatia matakwa ya kifungu cha 13 (3)
NEWS: MADIWANI WATAKIWA KUDUMISHA AMANI.
BAHI: Katika kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Bahi Mkoani Dodoma wametakiwa kuanza kufanya maandalizi ya amani mapema na kuepuka kuzalisha migogoro isiyokuwa
NEWS: TAKUKURU YAMTIA MBARONI OFISA WA TRA KWA RUSHWA
Taasisi ya Kupambana na Kuzuia na Rushwa (Takukuru), Mkoa wa Ilala inamshikilia Ofisa wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Elias Yunus kwa tuhuma za kuomba Rushwa ya Sh milioni 50 na kupokea Dola
NEWS: TANZANIA YAPIGA HATUA KUDHIBITI MAGONJWA YALIYOKUWA HAYAPEWI KIPAUMBELE.
DAR: Serikali kupitia wizara ya afya imepiga hatua katika kudhibiti magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele nchi.Hayo yamesemwa na mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mkurugenzi wa Huduma za Dha
NEWS: MAREKANI YAMUWEKEA VIKWAZO WAZIRI WA MAMBO YA NJEE WA IRAN
Rais wa Iran Hassan Rouhani amesema leo kuwa uamuzi wa Marekani kumuekea vikwazo Mohammed Javad Zarif inaonyesha kuwa Marekani inamuogopa mwanadiplomasia huyo mkuu.Katika hotuba ya moja kwa moja ya te
PICHA +15: NAMNA RAIS MAGUFULI ALIVYOZINDUA TERMINAL 3 UWANJA WA NDEGE NYERERE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli Leo tarehe 01 Agosti, 2019 amefungua Jengo la 3 (Terminali III) la Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es S
MAHAKAMA YAIPA SIKU 4 SEREKALI KUJIBU SABABU ZA KUSHIKILIWA MWANDISHI ERICK
MAHAKAMA ya Hakimu Mkazi Kisutu imeutaka upande wa Serikali kuwasilisha kiapo kinzani mahakamani hapo Augusti 5, mwaka 2019 kujibu hoja kuhusu Jeshi la polisi kumshikilia mwandishi wa habari za uchung
NEWS: SERIKALI KUWACHUKULIA HATUA WAAJIRI WANAOWANYIMA HAKI WANAWAKE LIKIZO YA...
DODOMA: Serikali kupitia Wizara ya Afya imetangaza kuanza kuwachukulia hatua Waajiri wote ambao wanavunja Sheria kwa kugandamiza haki ya kupata likizo ya uzazi kwa wanawake pindi anapojifungua. Hayo y
NEWS: UHAMIAJI WATOA SABABU ZA KUMSHIKILIA MWANDISHI ERICK KABENDERA
IDARA ya Uhamiaji imesema inamshikilia Mwandishi Erick Kabendera na kwa sasa wanaendelea kuchukua taarifa zake kuhusu uhalali wa uraia wake.Kamishina wa Uraia na Pasipoti kutoka Idara ya Uhamiaji Gera