- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: SHIRIKA LA RESTLESS DEVELOPMENT LAWASHANGAA VIJANA.
DODOMA: Mratibu Msaidizi wa Shirika Lisilo la Kiserikali Restless Development Denice Simeo amesema kwa mwaka 2015 hadi 2018 utafiti unaonyesha kuwa fedha ambazo zimekuwa zikitengwa kwaajili ya miko
NEWS: MAVUNDA AWATAKA VIJANA KUJITOA KIVITENDO NA SIO MANENO
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi, Ajira na Vijana Anthony Mavunde amewataka vijana kuwa wazalendo kwa vitendo kwa kujitoa na nchi yao na sio kwa maneno.Naibu Waziri Mavunde ameyasema hayo wakati
NEWS: LISSU AKATA TIKETI RASMI YA NDEGE KUREJEA NCHINI TANZANIA
Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki ambaye pia ndio mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu, amesema maandalizi ya kurejea kwake nchini Tanzania yamekam
NEWS: WAZIRI KAMWELWE AVUNJA BODI YA MFUKO WA BARABARA NA KUUNDA MPYA
WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Isack Kamwelwe, ameivunja Bodi ya Mfuko wa Barabara nchini na kuunda mpya, ambayo itaendesha mfuko huo kwa miaka mitatu ijayo.Waziri Kamwelwe alifanya uamuzi
NEWS: KOREA KASKAZINI YAFYATUA MAKOMBORA KUTOA ONYO KWA KOREA KUSINI
Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un amesema makombora mawili yaliyofyatuliwa chini ya uangalizi wake Jana alhamisi Julai 26, 2019 yakifanyiwa majaribio, ni onyo kali kwa Korea kusini kuhusu mipang
NEWS: SPIKA WA BUNGE LA TUNISIA ACHAGULIWA KUWA RAIS WA TUNISIA WA MUDA
Bunge la Tunisia limemchagua Spika Mohamed Ennaceur kuwa kaimu rais wa nchi hiyo baada ya kifo cha rais wa kwanza kuchaguliwa kidemokrasia nchini humo Beji Caid Essebsi kufariki dunia usiku wa kuamkia
News: Tamisemi yaja kivingine mji wa serikali.
DODOMA: Shikamoo TAMISEMI!!Heshima hii inakuja baada ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) kukamilisha jengo lake ambalo kwa hakika ni jengo linalovutia katika mji wa Serika
NEWS: RAIS WA TUNISIA AFRIKI DUNIA AKIWA NA UMRI WA MIAKA 92
Rais wa Tunisia Beji Caid Essebsi amefariki dunia mchana wa leo Julai 25, 2019 akiwa na miaka 92, ikulu ya nchi hiyo imeeleza.Alikuwa kiongozi mkongwe zaidi duniani. Alilazwa hospitali Jumatano lakin
NEWS: BILIONI 122.9 ZATUMIKA KULIPA WASTAAFU.
DODOMA: Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSSSF) Umetumia Bilioni 122.9 kulipa kiinua mgongo wastaafu 2,650 kati ya June mosi hadi Julai 15, 2019. Akizungumza na waandishi wa habari Jijini Do
NEWS: NAIBU WAZIRI AWESO ATISHIA KUZIFUTA JUMUIYA ZA WATUMIAJI MAJI .
Naibu Waziri, Mhe. Jumaa Aweso (Mb) ametoa onyo kwa Jumuiya zote za Watumia Maji zenye tabia ya ubadhirifu wa fedha kuwa zitafutwa kwa kuwa zinaenda kinyume namalengo ya uundwaji, ambayo kimsingi ni u