Home | Terms & Conditions | Help

November 26, 2024, 2:31 am

NEWS: MHADHIRI CHUO CHA NIT AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA RUSHWA YA NGONO

Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini Tanzania (TAKUKURU) imemfikisha mahakamni Mhadhiri wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Samsoni Mahimbo (68), kwa tuhuma ya kuomba rushwa ya ngono kwa mwanafunzi wake ili amfaulishe katika mitihani wa marudio (Supplement),

Mhadhiri huyo amefikishwa katika mahakama ya Hakimu Mkazi kisutu asubuhi ya leo Agosti 14,2019 na Kesi yake imeahirishwa hadi September 17.