- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: DCB BANK KUWANUFAISHA WANA DODOMA
Dodoma: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais anayeshughulikia Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa George Simbachawene amewataka wananchi kuchangamkia fursa za kimaendeleo zinajitokeza katika mkoa wa Dodoma
NEWS: UCHAGUZI WA UFARANCE WAPAMBA MOTO WASHIDI WA DURU YA KWANZA
PARIS: Katika mchakato unao endelea nchini ufaransa wa kumsaka mshidi nwa kiti cha urais nchini humo ambapo Mgombea wa siasa za mrengo wa kati Emmanuel Macron na mgombea wa chama cha siasa kali za mre
NEWS: SEREKALI YATOA TAMKO KWA KUJERUHIWA KWA WAANDISHI WA HABARI KWENYE UVAMIZI...
Dar es salaam: Serekali kupitia msemaji mkuu wa serekali Bw. Hassani Abbas imetoa tamko lakusikitishwa Baada ya tukio la kuvamiwa kwenye mkutano wa CUF. Ambapo waandishi na watu wengine walijeruhiwa
NEWS: MAZOEZI YA VITENDO YA SHEREHE ZA MUUNGANO YAWAVUTIA WAKAZI WA DODOMA
Dodoma: Ikiwa imebaki siku moja ili serikali ifanye maadhimisho ya miaka 53 ya sherehe za Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ,leo yamefanika mazoezi kwa vitendo kwa ajili ya kuboresha ufanisi wa sh
SPORT: MESSI AIDHIBU REAL MADRID NYUMBANI SANTIAGO BERNABEU
HISPANIA: Vigogo wa soka wa Hispania klabu ya Barcelona, wameibuka kidedea katika mchezo wa El Clasico, kwa kuichapa Real Madrid kwa mabao 3-2.ambapo Madrid ilikuwa yakwanza kupata bao kupitia kiungo
News: Venezuela Rais Maduro aomba mazungumzo na upinzani
Venezuela: Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameitisha kurejelewa kwa mazungumzo kati ya serikali na upinzani nchini humo.Kadhalika, amesema kwamba anataka uchaguzi wa majimbo ufanyike.Amesema hayo baa
Uchaguzi Ufaransa Emmanuel Macron na Marine Le Pen waongoza duru ya kwanza
Ufaransa:Mgombea urais nchini Ufaransa Emmanuel Macron ameshinda duru ya kwanza ya uchaguzi wa nchi hiyo, huku dalili zikionyesha, baada ya wiki mbili atapambana katika duru ya pili na Marine le Pen a
Tunakusogezea Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatatu ya April 24
Haya hapa magazeti ya leo april 24 habari zilizopo ni pamaoja na manara agoma kufungiwa na TFF, Mgogoro wa CUF wazidi kuwaka. Mtanznia;Joketi aivuruga UVCCM, Uteuzi wake wapingwa.
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya April 23
Haya hapa magazeti ya leo jumapili april 23 miongoni mwa habari zilizopo ni pamoja na Magufuli aitisha kikao cha wabunge wa CCM, Yanga hatarini kuivaa simba.
TANZIA: MWANDISHI NGULI JONAS MWASUMBI AFARIKI DUNIA.
Mbeya: Msiba mkubwa umeikumba Tasnia ya habari nchini baada ya mwanahabari Nguli Jonas Mwasumbi ambaye pia alikuwa mkurungenzi Wa chuo cha habari mkoa wa mbeya [MIJO] Kufariki kwa ugonjwa wa malaria .