- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumamosi ya April 29
Haya hapa magazeti ya leo jamamosi aprili 29 miongoni mwa habari zilizopo ni pamoja na Aaaah! mkuu bashite hayumo?,JPM Atikisa watu 47,000 na katika michezo mwamzi azam, simba kadi nje nje.
NEWS: MWAKYEMBE APOKEA TUZO YA HESHIMA KUTOKA RITA
Dododma: Wakala wa Usajili, Ufilisi na Udhamini RITA umemzawadia tuzo ya heshima aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria mhe. Dkt Harrison Mwakyembe RITA imetoatuzohiyo kwa kuthamini mchango wake katika
NEWS: PROF.MUHONGO AISHUKIA MIKATABA YA MADINI ATAKA IRUDIWE UPYA.
Dodoma: SERIKALI imesema bado baadhi ya mikataba ya madini inaupungufu mkubwa na hivyo kama kuna uwezekano wa kuangaliwa upya ifanyanyike hivyo.Kauli hiyo Imetolewa na Waziri wa Nishati na Madini Prof
NEWS: WATUMSHI HEWA 9,932 WATUMBULIWA BAADA YA JPM KUKABIDHIWA RIPOTI YA UHAKIK...
Dodoma: RAIS. Dkt John Pombe Magufuli amewatumbua watumishi hewa 9,932 na kuwafuta kazi kuanzia leo watumishi hao baada ya kubainika wamefoji vyeti vyao vya elimu yao.Pamoja na hivyo amesema wale wote
NEWS: URUSI NA MAREKANI ZARUSHIANA MANENO MKUTANO WA UN
NEW YORK:Majibizano makli yametokea kati ya Balozi wa Marekani Umoja wa mataifa (UN) Nikki Haley na Balozi wa Urusi Umoja wa mataifa Petr Iliichev ambapo Haley ameituhumu Urusi kwa kuulinda uatawala w
VIDEO: VUNJA MBAVU NA MCHEKESHAJI ERIC OMONDI JINSI ALIVYO MUIGIZA RAIS WA MAREK...
KENYA: Mchekeshaji maarufu nchini kenya ambae amejizolea sifa nyingi Africa mashariki Eric Omondi jana amezua gumzo mitandaoni nchini kenya baada ya kuigiza vitoko vya Rais wa marekani Donald trump, O
News: Bashe ameishangaa Serikali ya Kenya kuzuia mitungi ya gesi inayotoka Ta...
Mbunge wa Nzega mjini, Hussein Mohamed Bashe amesikitishwa na Serikali ya Kenya kuweka zuio la kuingiza mitungi ya gesi inayotoka Tanzania kwa kusema ni vizuri nchi hiyo ikaheshimu mikataba ya East Af
NEWS: MHANDISI LWENGE AWAONYA WATUMISHI WA UMMA KUHUSU UTII WA SHERIA.
Dodoma: Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi, Gerson Lwenge amesema njia nzuri ya kuondoa migogoro baina ya waajiri na waajiriwa ni kufanya majadiliano ya pamoja ambayo yameainishwa katika sheria ya