- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
Katika jamii yetu wanawake ndio wanaohangaika zaid kutoa matumbo yao makubwa, utawasikia mara nyingi wakiulizia kuhusu dawa ya kupunguza tumbo kwa wanawake, lakini si kwa ajili ya kukwepa madhara ya k
News: Mama JK ashangazwa kwa kitendo cha Serikali kukaa kimya juu ya ubadhirifu...
Dodoma: Mbunge wa Kuteuliwa, Salma Kikwete (CCM), ameeleza kushangazwa kwa kitendo cha Serikali kukaa kimya juu ya ubadhirifu wa Sh bilioni 30 Bodi ya Korosho. Mke huyo wa Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete
News: Polisi auawa kwa risasi mjini Paris
Paris: Mtu mwenye silaha alishuka ndani ya Gari na kuanza kushambulia Basi la Polisi Polisi mmoja ameuawa kwa kushambuliwa na risasi mjini Paris nchini Ufaransa na wengine wawili wamejeruhiwa viba
News: Mke wa marehemu bilionea Erasto Msuya yamkuta mahakamani.
Dar es salaam: Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesema kesi ya mauaji inayomkabili mke wa marehemu bilionea Erasto Msuya, Miriam Mrita (41) na mfanyabiashara Revocatus Muyela (40) ipo kihalali mahaka
News: Professa Lipumba ayeya mahakamani.
Zanzibar: Mgororo wa ruzuku ndani ya Chama cha Wananchi (CUF) unazidi kupamba moto baada ya mwenyekiti wa chama hicho anayetambuliwa na Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa, Profesa Ibrahim Lipumba kwe
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo Ijumaa ya April 21
Haya hapa magazeti ya leo ijumaa april 21 habari zilizogongwa katika vichwa vya habari ni pamoja na lowassa alaza zege bungeni Dodoma,simba point 3 yanga ubingwa.
News: China yasema inahofia vitisho vya nyuklia vya Korea Kaskazini
Korea: Image caption North Korea ilionyesha uwezo wake wa kivita wakati wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa kwa mwanzilishi wa taifa hilo Kim Il-sung's birth China imesema kuwa ina waswasi mkubwa kuhus
News: Manyanya jumla ya shilingi milioni 13.4 zimetumika kulipa madeni ya fedha...
Dodoma: Jumla ya shilingi bilioni 10.5 zimelipwa kwa walimu 22,420 katika kipindi cha mwaka wa fedha wa 2016/2017 hadi kufikia mwezi machi mwaka 2017.Idadi hiyo ilifanya jumla ya walimu waliolipwa ka
News: Kassimu Tanzania inahistoria ya kuwa na watu wastaarabu na heshima.
Dodoma: Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa Majaliwa, amesema vyombo vya Ulinzi na Usalama vinaendelea kufuatilia matukio mbalimbali ya Uhalifu, ambayo yanatokea kwenye maeneo tofauti nchini na kuzua hofu kw
News: Msanii Wa Filamu amtusi Nay wa Mitego kwa madai anapotosha jamii.
Dar es salaam: Msanii wa filamu nchini Yusuph Mlela amemtusi rapa Nay wa Mitego kwa kile anachodai kuwa msanii huyo anapotosha jamii juu ya maandamano waliofanya baadhi ya wasanii wa filamu nchini. Yu