- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
SPORT: REAL MADRID YAPELEKA MSIBA BAYERN KWA KICHAPO CHA MABAO 6 -3
Hispania: Usiku wa kuamkia leo zimepigwa mechi mbili ambapo viwanja viwili tofauti vilikuwa vikiwaka moto, mechi ya kwanza ilikuwa kati ya Real Madrid dhidi ya Baryan Munich na mechi ya pili ilikuwa k
News: Lulu hivi kwa akili zenu ndoa inatangazwa kwenye magazeti
Dar es salaam: Migizaji Elizabeth Michael (Lulu) akana kutoa taarifa za ndoa yake. Hivi karibuni magazeti ya Mtanzania na Mwananchi yalionekana kufanya mahojiano na mrembo huyo na kuripoti kuwa ndoa y
News: Mbunge wa jimbo la Dodoma mjini ateta na mlemavu wa mikono
Dodoma:Naibu Waziri wa Kazi, Ajira na Vijana, Anthony Mavunde , akiwa anateta jambo Fulani mdala olivelia ambaye ni mlemavu wa kutokuwa na mikono kama anavyoonekana pichani.Hata hivyo Mavunde katika k
News: Neema yawashukia Wasanii Serikali Kuanzisha Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa I...
Dodoma: Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo iko katika mpango wa kuanzisha “Mfuko wa Maendeleo ya Sanaa” ambao una dhima kubwa ya kusaidia kuinua kipato, kuongeza tija na weledi kupitia
News: Waziri mkuu wa jamhuri ya muungano wa Tanzania amewatumbua mifuko inayoto...
Dodoma: Serikali imeitaka mifuko ya kijamii ambayo inatoa mikopoko kwa jamii kufanya marekebisho upya ili kuona uwezekano wa kupunguza kiwango cha riba.Kauli hiyo imetolewa na Waziri Mkuu Kassimu Ma
NEWS: KOREA KASKAZINI YAENDELEA KUITISHA MAREKANI KIVITA
Pyongyang: Korea Kaskazini imeedelea kutoa matamko makali dhidi ya Marekani hasa pale ambapo Marekani inapotoa tamko la kusitishwa kwa majaribio ya kurusha makombora kwa Korea kaskazini, jana Afisa w
News:Uzushi wa Taarifa za waziri wa habari,utamaduni, sanaa na michezo zaliponz...
Katika toleo namba 387 la Jumatatu April 17-23, 2017 gazeti la MwanaHalisi katika ukurasa wake wa kwanza lina habari isemayo: “Mwakyembe: Maisha Yangu Yako Hatarini.” Habari hiyo inadai kuw
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumanne ya April 18
Haya hapa magazerti ya leo jumanne april 18 habari kubwa ni pamoja na mauwaji ya polisi nane yazua wana CCM kuomba nafasi 2000 Za uongozi samatta aanza kugombewa ulaya
News: Maaskofu vitendo vya utekaji na mauwaji ni dalili ya nchi kupoteza amani
Kilimanjaro:Matukio ya utekaji watu na kupotea kwenye mazingira yasiyoeleweka pamoja na mauaji ya polisi wanane mkoani Pwani, ni baadhi ya mambo yaliyotawala katika mahubiri ya mkesha na ibada za Siku
NAPE : Iko haja kama Taifa kuangalia vipaumbele vyetu ila nikiongea naonekana mk...
Lindi: Mbunge wa Jimbo la Mtamba Nape Moses Nnauye Kupitia ukurasa wake wa Instagram amaeandika ujumb unaosomeka... "Niliyashuhudia maisha haya mikoani (38months), nadhani ndio nikiyakumbuka naonekan