- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: POLEPOLE AJIKANYAGA KUKIMBIA MDAHALO
DODOMA: KATIBU wa Itikani na Uenezi wa Chana cha Mapinduzi(CCM) Humphrey Polepole,amesema yeye pamoja na viongozi wake hawakuweza kushirika katika mdahalo uliokuwa umeandaliwa na Chadema kwa madai kuw
NEWS: MACRON AWA RAIS WA UFARANSA RASMI LEO
Paris: Rais mteule wa Ufaransa Emmanuel Macron leo Jumapili ameapishwa, Macron amepewa dhamana ya kuongoza nchi hiyo, akiwa rais wa kwanza mwenye umri mdogo kuwahi kuongoza taifa hilo kubwa barani ula
IFAHAMU NJIA BORA KULIKO ZOTE YA KUZUIA MIMBA KWA UZAZI WA MPANGO.
Elimu ya uzazi wa mpango bado haijawafikia vijana wengi sana hasa tanzania, wengi wao hudhani labdamatumizi ya dawa na njia za uzazi wa mpango ni kwa ajili ya malaya, watu waliokwisha zaa na kadhalika
NEWS: KAMBI RASMI YA UPINZANI WASHTUKIA UBOVU WA VITABU SHULE ZA MSINGI
DODOMA: Kambi rasmi bungeni jana imeitaka serikali kufuta mara moja vitabu vyote ambavyo vimepelekwa katika shule za msingi huku vikiwa na makosa mengi. Mbali na hilo walisema hatua kali zichukuliwe
NEWS: WALIOBEBA MIMBA WATAKIWA KURUDI SHULE.
DODOMA: Bunge limeishauri serikali kutoa tamko rasmi mwongozo wa kuwarudisha shuleni wanafunzi wanaopata ujauzito mara baada ya kujifungua. Ushauri huo ulitolewa bungeni mjini hapa jana na Kamati ya
NEWS: WABUNGE WAISHUKIA SERIKALI KWA MADAI YA KUZIBAGUA SHULE ZA BINAFSI
DODOMA: Wabunge wameishukia serikali kupitia Wizara ya Elimu, Sayansi,Teknologia na Ufundi kwa madai kuwa imekuwa na tabia ya kuzibagua shule za binafsi.Mmoja wa wabunge waliochangia katika hotuba ya
Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumapili ya Mei 14
Haya hapa magazeti ya leo jumapili mei 14 miongoni mwa habari zilizopo ni pamoja na hasira tano za Lowassa kwa serikali CCM, madukuduku ya elimu yafichuka bungeni na katika michezo yanga ina saa 48 ku
NEWS: LOWASSA AILAANI SEREKALI BAADA YA KUVUNJA KONGAMANO LAKE
DAR ES SALAAM: Aliyekuwa Mgombea Urais mwaka juzi na Waziri mkuu mstaafu wa Tanzania Eduard Ngoyae Lowassa amelaani kile anacho kiita kama Uminyaji wa Demokrasia nchini Ulio fanywa na Serekali ya Mkoa
NEWS: SIMBACHAWENE: 'AWATAKA WAKURUNGEZI WASIWE KIWANDA CHA KUZALISHA MADENI KW...
Dodoma: Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI)George Simbachawene amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha wamemaliza kulipa madeni yote ya u
NEWS: MAJI YAMLIZA MBUNGE WA MORO
Dodoma: Mbunge wa Morogoro Mjini, Abdulaziz Abood (CCM), ameiomba serikali kuharakisha utekelezaji mradi wa kuongeza uzalishaji na upatikanaji wa huduma ya maji katika Manispaa ya Morogoro ili kuondo