- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: BABA WA VINCENT COMPANY ACHAGULIWA KUWA MEYA WA MJI
Brussels: Baba wa Mwanakandanda wa Kimataifa anayekipiga kunako klabu ya Manchester City Vincent Kompany, Pierre Kompany amechaguliwa kuwa Meya wa Manispaa ya Mji wa Ganshoren uliopo ndani ya Mji Mkuu
NEWS: MWANAMKE ALIYEJIOA MWENYEWE ATAFUTA MSAADA WA ADA WA MASOMO
Mwanamke mmoja ambaye amejichukulia umaarufu Duniani baada ya Kujioa mwenyewe mwezi Agosti mwaka huu Lulu Jemimah, 32, anatafuta msaada wa Dolla $ 10, 194 ili aweze kulipia Ada katika chuo maarufu Dun
NEWS: FAMILIA YA MODEWJI YATOA KITITA CHA BILIONI 1 KWA MTU ATAKAYETOA TAARIFA A...
Dar es Salaam: Familia ya Bilionea na mfanyabiashara maarufu hapa nchini Tanzania Mohammed Dewji β maarufu kama Modewji imetangaza Kiasi cha Shilingi za kitanzania Bilioni 1 kwa mtu yeyote atakaye
NEWS: NEC YATANGAZA SIKU NA TAREHE RASMI YA UCHAGUZI WA MARUDIO
Dar es Salaam: Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza rasmi kuwa Desemba 2, 2018 itakuwa ni uchanguzi mdogo wa ubunge katika majimbo ya Simanjiro, Serengeti na kata 21 za Tanzania Bara zilizoachwa
NEWS: IGP, MAKAMANDA WA POLISI WAPEWA AGIZO.
DOM: Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini (IGP) Simon Sirro, Makamanda wa Polisi wa Mikoa na vikosi, wameagizwa kuwachukulia hatua za kinidhamu askari wanaotumia nguvu kupita kiasi, kunyanyasa raia na kuend
NEWS: DK SHEIN AWATAKA WATANZANIA WANAOBEZA MUUNGANO.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein, ametaka Watanzania kupiga vita ubaguzi wa aina yoyote miongoni mwao huku wakidumisha umoja na mshikamano miongoni mwao.
NEWS: WAZIRI MWAKYEMBE AFUNGUKA SABABU ZA KUPOTEA KWA UZALENDO WA TAIFA.
DOM: Mmonyoko mkubwa wa maadili nchini ni miongoni mwa sababu inayopelekea Watanzania wengi kushindwa kuenzi uzalendo wa Taifa lao.Akifungua mtahalo wa kumbukizi ya hayati mwalimu Julius Kambarange N
BOBI WINE: NIWAKATI UMEFIKA KWA VIJANA KUCHUKUA UWONGOZI
Mwanasiasa wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi maarufu kwa jina la Bobi Wine, anasema wakati umefika kwa vijana kuchukua nafasi za kuongoza mataifa ya bara la Afrika.Kyagulanyi ambaye pia ni m
MAGAZETI YA LEO JUMATATU OCTOBER 15, 2018
Nikukaribishe kutazama Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti ya Leo siku ya Jumatatu Octoba 15, 2018
NEWS: IDADI YA WATUHUMIWA IMEFIKA 26 UTEKWAJI WA MODEWJI
Dar es salaam: Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa amesema jumla ya watu 26 mpaka sasa wamekamatwa na wanaendelea kwa mahojiano kufuatia tukio la utekwaji wa mfanyabias