- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
MAGAZETI YA LEO JUMATANO OCTOBER 10, 2018
Good Morning Muakilishi Wangu karibu kwenye Kurasa za Magazeti za Mbele na nyuma za leo Jumatano October 10, 2018.
NEWS: TAARIFA ZA KUFARIKI KWA PRODUCER PANCHO LATINO
BREAKINGNEWS: Taarifa zilitufikia Jana jioni kwenye mida ya Saa 12 Mtayarishaji wa muziki kutoka Studio ya B Hits Pancho Latino, amefariki Dunia.Kwamujibu wa Taarifa tulizopata kutoka kwa mtu wake wa
NEWS: WAZIRI AFAFANUA SABABU YA TAIFA STAA KUTOSAFIRI NA DREAMLINER
Dar es salaam: Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Dkt Harrisoni Mwakyembe amefafanua sababu zilizopeleke Dreamliner kushindwa kuisafirisha timu ya taifa ya Mpira wa miguu (Taifa Staa) kwend
NEWS: MBUNGE MSINGWA ASUSIA JESHI LA POLISI.
Mbunge wa Jimbo la Iringa Mjini (CHADEMA), Mchungaji Peter Msigwa amegoma kutoa maelezo aliyotakiwa kutoa kwa Jeshi la Polisi baada ya kudaiwa kuwa ametamka maneno ya uchochezi katika mkutano wa ha
NEWS: TSC YAWAANDIKIA BARUA WALIMU WALIOBAINIKA KUFANYA UDANGANYIFU KATIKA MITIH...
DOM: Tume ya Utumishi ya Walimu(TSC) imeanza kuchukua hatua za awali za kuwaandikia barua za kuwasimamisha kazi walimu wote waliobainika kuhusika kufanya udanganyifu katika mtihani wa darasa la saba u
NEWS: WAWILI WATIWA MBARONI KISA MADAWA YA KULEVYA.
Watu wawili wanashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Manyara baada ya kukamatwa na madawa ya kulevya aina ya Mirungi kilo tano sawa na mabunda 14 yakisafirishwa kutoka mkoani Arusha kwenda Babati. K
NEWS: MAKAHABA 27 WANASWA DOM.
DODOMA: Jeshi la polisi mkoa wa Dodoma linawashikilia watuhumiwa 29 wakiwemo makahaba 22 waliokuwa wakifanya bishara ya ngono, wanaume watano waliokuwa wakinunua pamoja na wamiliki wanne wa maeneo
NEWS: WAZIRI MKUU AWAONYA MAAFISA ELIMU KWA WIZI WA MITIHANI
Waziri mkuu Kassim Majaliwa amewaonya maafisa elimu na walimu kutojihusisha na vitendo vya wizi wa mitihani vinavyofanywa kwa lengo la kuwasaidia wanafunzi kwa sababu vinawadharirisha.“Kama kweli um
SUMAYE: DKT BASHIRU AJIANDAE KUCHUKIWA NDANI YA CCM
Dar es Salaam: Waziri mkuu mstaafu, Frederick Sumaye amesema matamshi aliyoyatoa Katibu Mkuu wa chama cha Mapinduzi CCM, Dk Ally Bashiru ya kuwa vitendo vya rushwa na kutowajibika vinasababisha watu k
NEWS: WAZIRI AAGIZA KUKAMATWA KWA KIGOGO WIZARANI
NAIBU Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameviagiza vyombo vya ulinzi na usalama mkoani Iringa kumkamata Afisa wa wizara, Goyagoya Mbena kwa tuhuma za kughushi nyaraka kwa kushirikiana na wahandisi wa maji