- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
BURUDANI : SHILOLE AMWAGIA POVU ZITO MREMBO LYINN ADAI MEDIA ZINAMPA KIKI
Msanii wa muziki wa Bongo fleva nchini Zuwena Mohamed maarufu kama Shilole ametoa Povu zito kwa media ambazo amedai zimekuwa zikitoa Kiki za bure kwa watu ambao hawana vipaji na sio wasanii.Watu wengi
NEWS: BALOZI WA SWEDEN DK SLAA AITWA KUHOJIWA NA SEREKALI HIYO
Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt Wilbroad Slaa ameitwa na serekali ya nchini humo kujieleze kuhusu kudorora kwa Haki za Binadamu, Demokrasia na Utawala wa Sheria katika utawala wa Serikali ya Awam
NEWS: MOROCCO YAZINDUA TRENI YENYE KASI ZAIDI BARANI AFRIKA
Taifa la Morocco limefanikiwa kuzindua treni inayokwenda kwa kasi zaidi barani Afrika - itakayopunguza nusu ya muda uliokuwa unaotumika kusafiri katika miji ya kibiashara na miji ya kiviwanda (Casabla
NEWS: MAJAMBAZI 7 WAUWAWA KWENYE MAJIBIZANO YA RISASI NA POLISI MWANZA
Mwanza: Taarifa iliyotufikia asubuhi ya leo inasema kuwa Watu wapatao saba wanaohofiwa kuwa ni majambazi wameuawa katika majibizano ya risasi na Jeshi la Polisi jijini Mwanza.Kwamujibu wa Kamanda wa P
NEWS: SPIKA NDUGAI AMTIMUA BUNGENI MBUNGE WA CHADEMA MWINGINE
Dodoma: Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai amemfukuza Mbunge wa Mlimba (Chadema), Susan Kiwanga ndani ya bunge kwa madai ya kufanyiwa utovu wa nidhamu.Ndugai amechukua uwamuz
NEWS: WAZIRI MBARAWA AWAFUTA KAZI WAKANDARASI 2
Dodoma: Waziri wa Maji na Umwagiliaji, Profesa Makame Mbarawa amewatimua wakandarasi wawili waliokuwa na miradi mikubwa ya maji sehemu tofauti tofauti hapa nchini huku akisema kuwa wakandarasi wajing
SPORTS: HATIMAYE VILABU VYA UINGEREZA VYAKUBALI KUTUMIA VAR
England: Hatimaye Vilabu vya Ligi kuu nchini Uingereza maarufu kama Premier League vimekubaliana kwa pamoja kuanza kutumia kanuni za Mwamuzi msaidizi maarufu Video Assistant Referees (VAR) katika mech
SPORTS : HESABU KALI ZA MTIBWA SUGAR KIMATAIFA ZIKO HIVI
Kocha mkuu wa timu ya Mtibwa Sugar, Zuber Katwila amesema kuwa ana imani na kikosi chake kutokana na kuwa katika ubora wake hivyo kama ni marekebisho atakayofanya kuelekea michezo ya kimataifa hayatak
NEWS: MBUNGE WA CUF MTOLEA AJIVUA UWANACHAMA NA KUJIUNGA NA CCM
BreakingNews: Mbunge wa Jimbo la Temeke Jijini Dar es salaam Abdallah Mtolea wa Chama cha wananchi CUF ametangaza rasmi kujivua uanachama wa chama hicho pamoja na kuachia nafasi yake ya Ubunge kuanzia
NEWS: SPIKA NDUGAI AWATOLEA UVIVU WABUNGE, MAWAZIRI WATORO BUNGENI.
BUNGENI DODOMA: Spika wa Bunge, Job Ndugai, amewataja wabunge na mawaziri wenye mahudhurio madogo zaidi katika vikao vya kamati za bunge na vile vya bunge. Akizungumza bungeni jijini Dodoma leo A