- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: BALOZI WA SWEDEN DK SLAA AITWA KUHOJIWA NA SEREKALI HIYO
Balozi wa Tanzania nchini Sweden Dkt Wilbroad Slaa ameitwa na serekali ya nchini humo kujieleze kuhusu kudorora kwa Haki za Binadamu, Demokrasia na Utawala wa Sheria katika utawala wa Serikali ya Awamu ya 5 chini ya Rais John Pombe Magufuli.
Aidha Serekali hiyo imeeleza kusikitishwa kwao na oparesheni dhidi ya Watu wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja iliyoanzishwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es slaam, Paul Makonda.
Mataifa makubwa pamoja na Mashirika ya Kimataifa kwa nyakati tofauti yamekemea na kuishutumu Serikali ya Rais Magufuli kwa kuminya Haki za Kiraia, Uhuru wa Habari na Kujieleza, Haki za Binadamu na Demokrasia.
Wakati huo huo Mabalozi wengine wa Tanzania kwenye nchi wanachama wa Jumuiya ya Umoja wa Ulaya(EU) nao wameitwa kutoa maelezo