- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
SPORTS: HATIMAYE VILABU VYA UINGEREZA VYAKUBALI KUTUMIA VAR
England: Hatimaye Vilabu vya Ligi kuu nchini Uingereza maarufu kama Premier League vimekubaliana kwa pamoja kuanza kutumia kanuni za Mwamuzi msaidizi maarufu Video Assistant Referees (VAR) katika mechi zote za mashindano katika msimu wa mwaka 2019/20.
Maamuzi hayo yamefikiwa leo Alhamisi Novemba 15, katika mkutano wa wamiliki wa club hizo zinazoshiriki ligi kuu nchini Humo.
Taarifa zinasema kuwa wamiliki hao Wamejifunza kutumia VAR's Katika mashindano ya FA Cup, Carabao Cup na Ligi zingine duniani.
Sasa Uwongozi wa Ligi hiyo umeshaanza mchakato wa kuomba vibali kutoka kwenye bodi ya kimataifa ya mpira wa miguu (International Football Association Board) na Shirikicho la Mpira wa miguu Duniani FIFA ili waweze kutumia VAR msimu ujao.