- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
MAGAZETI YA LEO JUMAPILI NOVEMBA 18, 2018
Karibu kwenye Ukurasa wa Magazeti ya Leo Novemba 18, 2018.
NEWS: SEREKALI YAANZA KUGAWA BILIONI 2 KWA WAKULIMA WA KOROSHO
Serekali ya Tanzania kupitia Benki ya kilimo Tanzania(TADB) imetoa kiasi cha Shilingi Bilioni 2 kwa wakulima wa korosho wa mikoa ya Lindi, Mtwara na Ruvuma katika malipo ya kundi la kwanza la watu amb
NEWS: DIAMOND AAHIDI KUMLETA WIZKIDS WASAFI FESTIVAL
Msanii wa muziki kutoka Afrika Mashariki Naseeb Abdul maarufu kama DiamondPlatnumz amewahakikishia wapenzi wa muziki wa staa kutoka nchini Nigeria Wizikidayo kuwa naye ni miongoni mwa wasanii watakao
NEWS: BASATA YAKANUSHA KUIFUNGULIA MWANZA YA RAYVANNY
Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limekanusha kuwa halijaufungulia wimbo wa ‘Mwanza’ waliomba wasanii kutoka label ya WCB Wasafi Raymond Shabani (Rayvany) na Nasibu Abdul (Diamond Platnumz) na ku
NEWS: SEREKALI YAKAMATA TANI 20 ZA KOROSHO
Waziri wa Kilimo na chakula, Japhet Hasunga,ametangaza kuzikamata Tani 20 za korosho kutoka ghala la mtu binafsi la Olam lililoko mkoani Mtwara.Akizungumza na waandishi wa habari leo Novemba 17, Wazir
NEWS: CIA YASEMA MWANAMFALME WA SAUDIA NDIYO ALIYEPANGA MAUWAJI YA KHASHOGGI
Kitengo cha Intelejensia cha Marekani (CIA) Kimedhibitisha kuwa Mtoto wa Kifalme, wa Saud Arabia Mohammed bin Salman ndio aliagiza mauaji ya Mwanahabari, Raia wa Saudia Jamal Khashoggi katika Ubalozi
MKURUGENZI NEWALE "TUMEJIPANGA HAKUNA KOROSHO ITAKAYO INGIA KUTOKA NCHI JIRANI"
MTWARA: kurugenzi wa Halmashauri ya Newala, Mussa Chimae amesema kuwa Halmashauri ya Newala ni moja ya Halmashauri zinazopakana na nchi jirani ya Msumbiji ambapo kwa upande wa majirani zetu kwa sehemu
NEWS: MALARIA YAPUNGUA KUTOKA ASIMIA 18.1 HADI 7.3
Dodoma: Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Hamisi Kigwangalla ameliambia Bunge leo Ijumaa Novemba 16, 2018 kwamba Maambukizi ya malaria yamepungua nchini kutoka asilimia 18.1 (2008) hadi kufikia asilim
SPORTS: AZAM YAUBWAGA UWANJA WAO YAOMBA KUTUMIA UWANJA WA TAIFA
Club ya Azam fc wameliomba shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania TFF kupitia Bodi ya Ligi kurudi kuutumia uwanja wa Taifa katika michezo yao ya nyumbani dhidi ya club kubwa ya Simba sc na Yanga kwa
NEWS : WAZIRI LUKUVI AGUNDUA UJANJA UKWEPAJI KODI WA ARDHI
Waziri Lukuvi agundua ujanja ukwepaji kodi wa ardhi Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi, amegundua ujanja unaofanywa na baadhi ya wananchi wa Moshi mkoani Kilimanjaro kutoch