- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: KANGI LUGOLA AHOJIWA NA TAKUKURU KWA SAA 6
ALiyekuwa Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi wa Tanzania na MBUNGE wa Jimbo la Mwibara Kangi Lugola leo amefika katika Ofisi za TAKUKURU mjini Dodoma kwaajili ya mahojiano. Lugola amefika Katika ofisi h
NEWS: ZITTO AMJIBU SPIKA NDUGAI DHIDI YA MKOPO WA BENKI YA DUNIA
Dar es Salaam. Kiongozi Mkuu wa chama cha (ACT-Wazalendo) nchini Tanzania, Zitto Kabwe ameikosoa vikali kauli ya Spika wa Bunge, wa Tanzania Job Ndugai aliyehoji kwanini Zitto aliindikia barua Benki
NEWS: SEREKALI YAKANUSHA KUNYIMWA MKOPO NA BANK YA DUNIA
Dodoma. Msemaji mkuu wa Serikali ya Tanzania, Dk Hassan Abbasi amekanusha uvumi kuhusu madai kuwa Benki ya Dunia (WB) imesitisha kutoa mkopo wa masharti nafuu wa Dola 500 milioni za Kimarekani kwa kwa
NEWS: MAALIM SEIF AGOMBEA NAFASI YA MWENYEKITI ACT WAZALENDO
Mshauri Mkuu wa Chama cha ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad, leo Januari 30, 2020 amechukua fomu ya kugombea uongozi wa Nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho kitaifa. Hii ni baada ya Chama hicho ku
NEWS: BUNGE LAMTAKA LUGOLA KUTOA MAELEZO KUHUSU SAKATA LA UFISADI
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC), Nagenjwa Kaboyoka, amemtaka alikuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,Kangi Lugola kutoa maelezo ya KINA kuhusu sakata la ufisadi katika unu
NEWS: ZITTO APINGA BANK YA DUNIA KUIKOPESHA TANZANIA BILA SERA KUREKEBISHA
Kiongozi Mkuu wa chama cha upinzani cha ACT-Wazalendo nchini Tanzania Zitto Zuberi Kabwe amesema kuwa Benki ya Dunia haipaswi kuikopesha Tanzania dola milioni 500 za elimu kabla ya mabadiliko ya kise
NEWS: HALIMA MDEE AMBANA WAZIRI ZUNGU UCHAFU DAR ES SALAAM
Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira nchini Tanzania, Mussa Zungu amekiri kweli dampo linalotumiwa na Jiji zima la Dar es Salaam lililopo Pugu Kinyamwezi lina hali mba
NEWS: HATIMAYE BUNGE LA ULAYA LAPIGA KURA KUIONDOA UINGEREZA
Wabunge wa bunge la Umoja wa Ulaya wamepitisha kwa wingi sheria inayoruhusu Uingereza kuondoka kwenye Umoja huo ama Brexit, wiki hii na kuondoa kizingiti kikubwa cha mwisho kabla Brexit yenyewe kufany
NEWS: TANZANIA HAINA MGONJWA WA CORONA.
DODOMA: Mpaka sasa Tanzania haina Mgonjwa wala muhisiwa wa ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha Coromna (Hona kali ya mafua) hata hivyo kutokana na mwingiliano mkubwa uliopo hasa kibiashara na kijamii
HABARI PICHA : MWAKILISHI MKAZI WA UMOJA WA MATAIFA AJITAMBULISHA WIZARA YA K...
Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Prof. Sifuni Mchome (kulia) akiongea na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bi. Christine Musisi alipomtembelea ofisini kwake, Mji wa Serikali Mtumba, Jijini Do