- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: TANESCO YAOKOA SH. BILIONI 23.5
Shirika la Umeme Tanzania(TANESCO) limesema kuwa limefanikiwa Kuokoa Shilingi Bilioni 23.5 zinazotumika kila mwaka baada ya Serikali kuzima mitambo ya kuzalisha umeme kwa kutumia mafuta mazito.Akizung
NEWS: WAZIRI KIGANGWALLA ADAI KUNAWATU WALIPANGA NJAMA ZA KUMUUA
Waziri wa Maliaasili na Utalii na Mbunge wa Nzega Vijijini amesema kuwa wako watu wanaopanga kumchafua ili aondolewa katika nafasi ya Uwaziri. Asema kwamba matukio ya hivi karibuni ya moja ya magazeti
SPORTS: TFF YAWAFUNGIA WACHEZAJI WATANO WA YANGA NA MBEYA CITY
Kamati ya Utendaji ya ya saa 72 ya Bodi ya Ligi Tanzania imewafungia Wachezaji wa Mbeya City (Kelvin John na Majaliwa Shaban) na Yanga Sc (Mrisho Ngasa ,Ramadhani Kabwili na Cleafas Sospeter miezi mit
NEWS: RAIA WA TANZANIA KUZUILIWA KUINGIA MAREKANI WIKI IJAYO
Tanzania Imeorodheshwa miongoni mwa nchi saba ambazo huenda zikakumbwa na masharti maalum kwa raia wake kutopewa visa kuingia Marekani, kwa mujibu wa rasimu ambayo imeandaliwa na utawala wa Rais Trum
NEWS: MFALME WA SAUDIA ALIDUKUA MAWASILIANO YA BILIONEA NAMBA MOJA DUNIANIA
Repoti ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa tajiri namba moja Duniani na Mmiliki wa Amazon Jeff Bezos’s simu yake ilidukuliwa(hacked) na Mfalme wa Saudia Mohammed bin Salman baada ya Mfal
NEWS: TCU IMEVIFUTA VYUO VIKUU 5 NCHINI TANZANIA
TUME ya Vyuo Vikuu Tanzania (TCU), imevifutia hati za usajili wa vyuo vikuu vitano, kikiwemo Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba na Teknolojia (IMTU ) Vituo vya vyuo vikuu vitatu na Chuo Kikuu kishiriki
NEWS: HALIMA MDEE NA ESTER BULAYA WAINUSURU DHAMANA YAO
Dar es Salaam. Wabunge wawili wa Chadema, Halima Mdee na Ester Bulaya leo Jumanne Januari 21, 2020 wamepambana vikali kuweza kuzinusuru dhamana zao baada ya kuieeleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu
NEWS: MAKAZI BORA KUWA AGENDA YA KITAIFA.
DODOMA: Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jmaii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.Ummy Mwalimu amesema Serikali imeichukua Kampeni ya kuhamisha wananchi kujenga nyumba bora iitwayo “Piga Kazi: Boresha Makaziâ
NEWS: HUDUMA ZA AFYA KWENYE HOSPITALI ZA RUFAA ZA MIKOA ZIMEIMARIKA-DKT.CHAULA.
DODOMA: Wizara ya afya,Maendeleo ya jamii, Jinsia, Wazee na Watoto –Idara kuu Afya imeendelea kuimarisha upatikanaji wa huduma za kibingwa kwenye mazingira karibu na wananchi kwenye hospitali zake
NEWS: SEREKALI YASEMA WAMEFANIKIWA KUZIMA LAINI LAKI 975
Dar es Salaam. Mamlaka ya Mawasilino nchini Tanzania (TCRA) imesema kuwa imefanikiwa kuzima laini za Simu 975,041 hii ni mpaka jana saa nne usiku.Akizungumza na Shirika la Habari la Tanzania TBC leo A