November 24, 2024, 10:55 pm
- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: MFALME WA SAUDIA ALIDUKUA MAWASILIANO YA BILIONEA NAMBA MOJA DUNIANIA
Repoti ya uchunguzi ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa tajiri namba moja Duniani na Mmiliki wa Amazon Jeff Bezos’s simu yake ilidukuliwa(hacked) na Mfalme wa Saudia Mohammed bin Salman baada ya Mfalme huyo kumtumiwa Meseji Bw Jeff Bezos's kwenye mtandao wa WhatsApp.
U.N ilianza uchunguzi baada ya Bilionea huyo kulalamika mara kwa mara kuwa utawala wa Saudia unamshambulia kimtandao na kumdukuliwa mawasiliano yake.
Katika Repoti iliyotelewa leo Jumatano imeeleza kuwa Bilionea huyo alitumiwa meseji na Mfalme Mohammed bin Salman Wenye kirusi chenye nguvu kilichoweza kuhamisha taarifa zoote alizokuwa nazo kwenye simu yake zikiwemo meseji na Videos.