- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
BURUDANI : NUKUU MBILI ZA MREMBO NA VIDEO VIXEN SANCHOKA
"NUKUU 2 Za Nguvu kutoka kwa Sanchoka Mrembo na Video Vixen!"Atakayetaka kuniowa aandae Millioni 20 za kitanzania"Anasema Mrembo Sanchoka"Nafanya kazi za kawaida lakini ukweli Ugali sijui kupika"aliwa
SPORTS NEWS : AZAM YAWASILI NJOMBE,MCHEZO WAO WASOGEZWA MBELE MPAKA JUMAPILI
Msafara wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, umewasili salama mkoani Njombe jana jioni, ukiwa tayari kufanya maandalizi ya mwisho kabla ya kuvaana na Njombe Mji katika mchezo wa raund
SPORTS NEWS : BAAADA YA KUKAA NJE MUDA MREFU FRANK RIBERY SASA AREJEA
Kiungo mkonwe wa Bayern Munich, Franck Ribery amerejea mazoezini baada ya kukaa nje ya uwanja kwa wiki sita akiuguza goti lake.Ribery ,34, amekuwa akiandamwa na majeraha ya mara kwa mara. Imeelezwa g
NEWS : KOREA KUSINI YAMUONYA TRUMP KWA MASHAMBULIZI KOREA KASKAZINI BILA RIDHAA
Korea Kusini yamuonya Trump juu ya kuishambulia Korea Kaskazini bila ya ridhaa yakeMkuu wa chama tawala nchini Korea Kusini, amesema kuwa haiwezekani Rais Donald Trump wa Marekani kutumia chaguo la ki
BURUDANI : STEVE NYERERE AMSHUSHIA RUNGU ZITO AFANDE SELE,NI ISHU YA LULU NA KAN...
Msanii wa Filamu Bongo, Steven Nyerere amefunguka kufuatia kauli ya msanii Afande Sele aliyoitoa hivi karibuni kuhusu Marehemu Steven Kanumba mara baada ya Elizabeth Michael ‘Lulu’ kuhukumiwa kifu
NEWS: WEZI NCHINI INDIA WAMECHIMBA NJIA YA CHINI KUIBA BANK
Mumbai: Wezi katika mji wa Mumbai magharibi mwa India walitekeleza wizi kwenye benki moja inayomilikiwa na serikali baada ya kuchimba njia ya chini kwa chini ya urefu wa futi 25 (mita 8).Polisi wameam
NEWS: JESHI LA ZIMBABWE LIMECHUKUA UDHIBITI RASMI NCHI NZIMA
HARARE: Jeshi la Zimbabwe limedhibiti maeneo kadhaa muhimu pamoja na majengo ya serikali. Baadhi ya mawaziri wamewekwa chini ya ulinzi.Mpaka sasa Rais wa Zimbabwe Bw. Robert Mugabe amewekwa chini y
NEWS: SERIKALI YAWASILISHA MUSWADA WA MAREKEBISHO YA SHERIA MBALIMBALI.
BUNGENI: Serikali imewasilisha bungeni muswada wa sheria ya marekebisho ya sheria mbalimbali wa mwaka 2017 ambapo marekebisho hayo yanalenga kuboresha utekelezaji wa sheria hizo kwa kuondoa upungufu u
NEWS: SERIKALI YAWATAKA WANANCHI KUPIMA AFYA ZAO MAPEMA.
DODOMA BUNGENI: Serikali imewataka wananchi kufika katika vituo vya afya vya kutolea huduma ili kupima afya zao na kupata ushauri na matibabu mapema.Akiuliza swali mbunge wa Iramba Mashariki Allan Ki
NEWS : BENKI KUU YA NCHINI LIBYA YADAI HALI YA UCHUMI NCHINI HUMO NI MBAYA
Benki Kuu ya Libya: Hali ya uchumi wa nchi ni mbayaGavana wa Benki Kuu ya Libya ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya kiuchumi inayoikabili nchi hiyo.Sadiq al Kabir ametahadharisha kuhusu hali mbaya ya