- BREAKING NEWS: TANZANIA YAKANUSHA KUWASHIKILIA KINA DR SLAA NA MWAMBUKUZI
- BREAKING NEWS: RAIS WA MAPINDUZI WA NIGER AMTEUA WAZIRI MKUU MPYA
- BREAKING NEWS: SHILINGI YA KENYA YAPOROMOKA VIBAYA DHIDI YA DOLA
- BREAKING SEREKALI YA RWANDA YAKASIRISHWA NA UBELGIJI KUTOMUIDHINISHA BALOZI WAKE
- BREAKING NEWS: RAIS KIM AKUTANA NA WAZIRI WA ULINZI WA URUSI
NEWS: PAPA FRANCIS AWASILI NCHINI MSUMBIJI KUFANYA USULUHISHI
Kiongozi wa juu wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ameanza ziara nchini Msumbiji, akitarajiwa kutoa hotuba mbele ya viongozi wa serikali na wa chama cha upinzani, ambao hivi karibuni walitia sain
NEWS: SEREKALI KUTORUHUSU NDEGE ILIYOSHIKWA KURUDI AFRIKA KUSINI
Serikali imesema haitoiruhusu tena ndege yake ya Airbus A220-300 iliyozuiwa nchini Afrika Kusini kuendelea kufanya safari katika ardhi ya nchi hiyo hadi pale Serikali ya Afrika Kusini itakapoihakiki
NEWS: WABUNGE NCHINI UINGEREZA WAGOMEA UCHAGUZI WA MAPEMA
Wabunge wengi nchini Uingereza wamekataa katakata pendekezo la waziri mkuu wa nchini hiyo Boris Johnson la kuitisha uchaguzi wa mapema mnamo Oktoba 15. Katika kura iliyopigwa jana usiku, wabunge hao w
NEWS: MAHAKAMA YATENGUA ZUIO LA WAANDISHI KUTORIPOTI KESI ZA UGAIDI
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Jijini Dar es salaam, Leo Septemba 5, 2019 imetengua zuio la waandishi wa habari nchini kuripoti kesi za ugaidi na imeuagiza upande wa Jamhuri kukamilisha upelelezi kwa
NEWS: WAMBURA "MAKOCHA NAO WAVAE MAVAZI RASMI ILI KUONESHA HESHIMA YA KAZI"
Afisa Mtendaji Mkuu wa Bodi ya Ligi TPBL, Boniface Wambura amefafanua juu ya suala la mavazi yanayotakiwa kwa mabenchi ya ufundi ya timu za ligi kuu, amesema uwamuzi wa kumuadhibu kocha mkuu wa yanga
NEWS: SERIKALI YA TANZANIA YALAANI VURUGU ZA AFRIKA KUSINI DHIDI YA WAGENI.
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARISerikali ya Tanzania inaungana na Serikali ya Afrika Kusini kulaani vikali vitendo vya ubaguzi na mashambulizi vinavyofanywa na raia wachache wa nchi hiyo dhidi ya raia wa
NEWS: WANIGERIA WALIPINZA KISASI.
Maduka ya wafanyabiashara wa Afrika Kusini nchini Nigeria yalivamiwa jana ikiwa ni hatua ya kujibu, mashambulizi ya hivi karibuni katika taifa hilo la Kusini mwa Afrika kufuatia wimbi jipya la chuki d
NEWS: MBOWE AHOJI KUKIUKWA KWA KANUNI ZA UCHANGUZI SEREKALI ZA MITAA
Dodoma. Mwenyekiti wa chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema , Freeman Mbowe amehoji leo Bungeni kuwa je ni sahihi kwa Kanuni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa mwaka 2019 kuanza kutumika kabla ya
NEWS: CONGO YAIDHINISHA ELIMU BURE KWA SHULE ZA UMA
Serikali ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Congo leo inaingia katika tukio la kihistotia kwa kuidhinisha elimu ya bure katika shule za msingi za umma kwa lego la kutekeleza yaliomo katika katiba ya mwaka
NEWS: MUSWADA WA SHERIA YA SERIKALI MTANDAO WAWASILISHWA BUNGENI.
BUNGENI: Serikali kupitia wizara ya Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, imewasilisha Bungeni muswada wa sheria ya serikali mtandao ili Bunge lilidhie na kuwa sheria ha